Piere Nkuruzinza ashiriki na wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mkuu wa mkoa

Chigoto

Member
Jan 3, 2011
28
23
Ndugu wadau!!! Jana katika taarifa ya Habari ya TBC waandishi wa Habari wa kitanzania Elisha Elia na mwezie Gasion Msigwa walilipoti tukio amabalo kwangu mie niliona ni la mfano wa kuigwa kwa Viongozi wetu wa ukanda wa Africa ikizingatiwa bado tupo nyuma sana kimaendeleo!!

Rais wa Burundi
kajiwekea utaratibu yeye na familia yake kila jumapili kutembelea mirandi mbalimbali ya Maendeleo nchini mwake na kushiriki na wananchi katika shughuli hizo mfano jana alikuwa akishiriki kwa kuchanganya zege na kubeba karai la zenge katika ujenzi wa nyumba ya ofisi ya mkuu wa mkoa. Sie kwetu waziri anakwenda kagua shamba akiwa kavaa suti kweli tutafika?

Maoni na michango!
 
JK hana mda huo, yuko busy anakagua ramani ya dunia anaangalia nchi gani hajatembelea


Il Gambino.
 
Back
Top Bottom