t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,358
- 14,742
Taratibu mkuu
Kwamba hata kukamilika na kufunguliwa ni ushindi mkubwa kwa watu wa Mbeya na mikoa inayaozunguka.
Uwanja huu umepigwa vita sana na viongozi wanaojulikana.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu aliupiga mwara na kutokubali uwanja huu kutengewa fungu, na ndio maana ujenzi ulisimama kabisa.
Kwa suala kwamba uwanja una VUMBI nafikiri inabidi uende CCBRT kwa matatizo ya macho.
Kama wewe si mtaalam wa masuala ya usafiri wa anga inabidi ueleweshe kuwa ujenzi wa uwanja ni kitu kimoja, lakini uratibu wa matumizi ni fani nyingine kabisa!
Ni jana tu Mamlaka ya Usafiri wa anga nchini TCAA imetoa habari kwa ICAO (mamlaka ya usafiri wa anga dunia nzima), kwamba uwanja wa ndege Songwe upo tayari kwa matumizi.
Zaidi ya hapo , uwanja ni runway, runway ya Songwe ina urefu wa 3.3km , na ni ndefu zaidi hata ya DSM Int Airport.
Watu husema ROME was not build in one day, nakushangaa sana kwa lack of objectivity-kukataa maendeleo!
Umeandika kwa Authority kubwa sana ,lakini nikuambie Airport structure ni kitu muhimu pengine hata kuzidi hiyo runway unayoisifia , najiuliza inakuwaje jengo kama quality plaza lijengwe na mtu binafsi, halafu serikari pamoja na utitiri wahandisi ,resourses na exposure tele za viongozi wake ,inakuja na jibu la uwanja kama huo unao jisifia ,kauli za eti Rome haikujengwa kwa siku moja , kasungura haka kadogo , nchi hii ni changa n.k . zimekuwa zikitumiwa sana na viongozi walafi wakiendeleza madhambi yao. Kama Umetembea utakuja kugundua
kuwa hata hiyo JKIA yenyewe bado ni Kituko miongoni mwa Airport, kwa Taarifa tu ,Zama hizi ambapo Ugaidi ni tishio , Airline operators wanapenda kwenda sehemu ambazo hakuna security threat , Elewa kuwa ukiona boeing 747 britsh airways imetua KIA ,jua kuwa kwa wakati huo thamani ya hiyo ndege ni kubwa kushinda uwanja wenyewe! kimsingi operators wanamini most complex and expensive airports ni more secure na hivyo ni salama kwao na property zao, kwa mtindo huu wa airport kama songwe na watu kama wewe wa kujustfy maovu ! tutasubiri sana maendeleo,