Pictures: Uwanja wa ndege Songwe - Mbeya waanza kutumika, ndege zaidi ya tatu zatua

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
THURSDAY, DECEMBER 13, 2012


UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA
ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO
MWANDISHI WA HABARI KAMANGA WA BLOG YA MATUKIO AKISHUKA TOKA KATIKA NDEGE KUZINDUA UWANJA HUO
BAADHI YA WTUMISHI WA UWANJA HUO WAKISHUSHA MIZIGO TOKA KATIKA NDEGE
BAADHI YA ABILIA WALIOSHUKA UWANJANI HAPO

MAMA HELLEN LAIA WA UGANDA AKIFURAHIA KUTUA KATIKA KIWANJA HICHO CHA SONGWE MBEYA
MWENSHIMIWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA G. KAJIGIRI AKISUBIRI MGENI WAKE TOKA DSM
MOJA YA MAAFISA WA UHAMIAJI UWANJANI HAPO



TUTAZIDI KUWALETEA KINACHOJIRI UWANJANI HAPA SONGWE
 
Duuu that's great ila wasitudanganye kuwa ni wa Kimataifa hizo stori tumeshazichoka ni uzushi huo ni uwanja wa Mkoa tu sio wa Kimataifa
 

Mara NYINGI huwa kuwa MABANGO yanayoonyesha nani ni CONTRUCTOR wa HICHO KIJIWACHA... Lakini hakuna BANGO!!!
Yaani VINDENGE vidogo VITATU ndio FURAHA? tena kutua kwenye VUMBI?

Ni nani alibeba PESA za UWANJA? WIZI kila KONA na RAIS wetu anakwenda KUSHEHEREKEA Uzinduzi lakini MAJI kwenye JENGO KUU hakuna MITARO? tunataka kujua MJENZI ni nani au KIKOSI cha UJENZI cha MGAMBO ndio walioujenga UWANJA HUO???

SHAME!!! SHAME... NAPE NNAUYE anatakiwa kuwa huko SONGWE kuona MRADI wa CCM unavyoimarika na UFISADI...

** HICHO KIKOCHI kweli ni CHA UWANJA wa NDEGE? Au Mfanyakazi MMOJA kaondoa KOCHI lililochoka NYUMBANI kwake na KUPANDIKIZA hapo AIRPORT? na yeye kabeba MAMILIONI TUMBONI.... CCM badala ya kufungua MAGEREZA kwa kuweka WEZI wa UKWELI wa MALI za SERIKALI; Inayafungua hayo MAGEREZA kuwaweka NDANI WABUNGE na MADIWANI wa CHADEMA...
 
Kandege kamoja nakaona ni mali ya TANAPA katakua kameleta maafisa wa KITULO NATIONAL PARK, any way changamoto ni kubwa ila kwa kuanzia sio mbaya, ukiwa unatoka DAR kwenda MBEYA kwa basi safari ni ndefu sana, Mashirika ya Ndege yachangamkie fursa ya kwenda MBEYA sasa naamini wasafiri wapo wa kutosha kabisa
 
Tanzania bwana wasaniiii. Eti uwanja wakimataifa... Vijengo kama airport ya mwanza. Wa dar wenye ni mkubwa kuliko hata uwo. Wajipange!
 
A Bull shit airport indeed!

Mahali pana potential kubwa ajabu kuwa HUB ya Great lakes na SaDC; Halafu wanatokea wajinga wawili watatu wanadesing kakiwanja utafikiri kwa ajili ha kuhandle ndege za Barrick Bulyanhulu???

Nyambafu wote mliodesign takataka hii pale Songwe....
 
mkuu nngu007 nauli bei gani mpaka dar...manake juzi nimepanda abood Tunduma-Dar nimeingia Dar saa nane usiku toka saa 1:30 asubuhi...kama ile kampuni mpya imekuja na mbeya tuambie tafadhali tumechoka kuzunguka kona ya kitonga.
 
Last edited by a moderator:
Angalia! wenzetu hawa hawachelewi kupakia magunia ya mchele na hatimae ndege kushindwa kupaa!! Maana hayo makapu yanavyoonekana kama kiashilia vile..............!!
 
Tz people try to realize yr self!
Do u want the J F Kennedy airport at songwe!
That will happen only when our shadows start talking.
 
Tutaendelea kujenga viwanja kila mwaka, badala ya kufanya kitu tukamaliza bado tunajifanya hatuelewi, mara tumethubutu tumeweza! its 21 century guys work up!! kiwanja cha ndege kinatakiwa kiwe kivutio kwa watu kusafiri kwenda sehemu za pande za huko.
 
Napendekeza Uitwe The memorial of DKT slaa international airport kuenzi ugunduzi wa kontena la kura hapo 2010 ambalo mpaka leo kabaki kuwa mtu pekee aloshuhudia kontena hilo la kihistoria!
 
mkuu nngu007 nauli bei gani mpaka dar...manake juzi nimepanda abood Tunduma-Dar nimeingia Dar saa nane usiku toka saa 1:30 asubuhi...kama ile kampuni mpya imekuja na mbeya tuambie tafadhali tumechoka kuzunguka kona ya kitonga.

FASTJET Destination zake ni BADO MWANZA, DAR, KIA... Hawajaongeza Safari za MIJI MINGINE BADO
Wanataka ku-realize profit kwanza sababu; SODA, KARANGA na CHAKULA inakubidi kama unataka UTOE PESA MFUKONI wakati UPO ndani ya NDEGE...

Kwahiyo wanafanya hiyo MIKOA MITATU kuona kama Watu hao Watanunua Vyakula...
Sababu FAIDA ndio wao Wameiweka HUKO kwenye VIBURUDISHO; USAFIRI rahisi
 
Jamani mbona uwanja duni kiasi hiki kwa 21century? bure wangeacha kuliko kukurupuka na kutoa kitu cha ajabu hivi
 
Back
Top Bottom