Pictures: Moment Mswati's love rival was rumbled

Tuache utani jamani totoz imetulia hiyo...

Walahi hata mimi ningemega potelea mbali consequences ambazo zingetokea..

Mamba mwanaumeeee.... hata akitoswa, vitamu kala.. si kufukuzia afu wadakwa kabla hujala!!!

acha atafuniwe...!!:A S 39:
 
Haya ni matokeo ya mila chafu na utamaduni uliopitwa na wakati na pia wa kudhalilisha sana unaoendelea kudumishwa na waswaz. Haiwezekani Mswati awakusanye mabinti wadogo , wazuri kama wake zake na awe na uwezo wa kuwaridhisha woote kwa usawa. Shida ya mabinti hawa sio maisha ya kifahari ndani ya ikulu. Miili yao pia ina hisia na inahitaji mambo ya ndoa. Ni lazima matukio haya yatatokea tu, mswati apende asipende.
 
dah kweli jamaa kidume Nasolwa hujakosea huyu mswati kila mwaka anaoa halafu vibinti vya ukweli.ebana imetulia
 
Back
Top Bottom