Picture of The Day - Arumeru Mashariki

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu nimevutiwa sana na hii picha ya leo kutoka Arumeru Mashariki na kuniacha na maswali mengi sana!
Nasari.jpg
 
Kuvaa tu kitambaa cha CCM au shati la CCM kunathibitisha vipi kwamba huyo mama ni mwanaCCM?

kwenye siasa mbinu za kutafuta ushindi ni nyingi.

Hata kama ni mama wa kutengenezwa dhamira ni kuonyesha kwamba wanaCCM wanamuunga mkono mgombea wa CHADEMA.

mbinu chafu na safi tutaendelea kuziona Arumeru
 
Kwamba,watu hawana nguo za kujisitili.si kila anaevaa nguo ya kijani au gwanda ni mwana CCM au Chadema.kama umepewa pokea maana imekuokolea bajeti yako ya mwaka.
 
Nassari mtu wa watu. Jana Sing'isi kina mama waling'ang'ania Kumbeba mbunge wao Nassari..
 
Kuvaa tu kitambaa cha CCM au shati la CCM kunathibitisha vipi kwamba huyo mama ni mwanaCCM?

kwenye siasa mbinu za kutafuta ushindi ni nyingi.

Hata kama ni mama wa kutengenezwa dhamira ni kuonyesha kwamba wanaCCM wanamuunga mkono mgombea wa CHADEMA.

mbinu chafu na safi tutaendelea kuziona Arumeru

Je kama hana kiremba kingine cha kujifunga afanyaje?
 
sidhani kama huyu bibi alivaa hiki kitambaa huku akijua....hapo roho yake nyeupe...yeye anajua amefunika nywele zake..ni kwa nguo gani na kwa maana gani sidhani kama anajua!!
 
Najaribu kuwa karibu na huyu Bibi ili nijue hatma yake itakua vipi na wakereketwa wa chama cha CCM baada ya uchaguzi kuisha.
 
Hivyo vitambaa havinunuliwi, vinagawiwa bure bila kuuliza itikadi yako, sasa yeye alipewa kwanini asikivae? lakini nafsi yake anaipenda chadema.
 
Imani kwa chama cho chote ni moyo (attitude of mind) sio vazi. Kama Mwalimu Nyerere alivyosema Ujamaa ni moyo.
 
Huyo mama anamsikitikia tu Nasari.
Anamueombea afanikiwe katika maisha mengine lakini si ya Siasa!
Mama anaonyesha uzalendo wa kweli na mapenzi kwa chama chake CCM, hataki kuwa mnafiki kabisa!
 
Nassari mtu wa watu. Jana Sing'isi kina mama waling'ang'ania Kumbeba mbunge wao Nassari..

mmmh kumbeba mgongoni au kifuani? nimezingatia huyu ni mwanaume na hawa wanaotaka kumbeba ni wanawake tena wamama....ni mawazo yangu tu ya kizamivundo yananifanya nihoji hii ilikuweka rekodi sawa kwa ajili ya matumizi ya siku zijazo kwa akina gaude
 
Huyo mama anamsikitikia tu Nasari.
Anamueombea afanikiwe katika maisha mengine lakini si ya Siasa!
Mama anaonyesha uzalendo wa kweli na mapenzi kwa chama chake CCM, hataki kuwa mnafiki kabisa!
Bado uko huko? Hamia!!!!
 
Arusha akina mama wamejifunza mamabo mengi masokoni.Siku hizi wanogopa kununua Uji wa 400 km sehemu ya kutuliza njaa.Wanasema wakinywa uji wa 400/= wanaenda choo 1200/= mnajua hilo JF? sasa hapo dogo anaambiwa huwa jamaa wanachukua ushuru asubuhi kwa soko na bwana afya.Ila vyoo ni kulipia whether umeingia baa au choo kisichokuwepo cha soko. hao akina mama wengi wanavaa products za ccm km nguo pekee. Si mzaha ,imagine ktk ukanda ambao mitumba imejaa bado watu wanashindwa jiokoa.
 
Nassari: Bibi naomba kura yako
Bibi:Humu kichwani kumejaa bangi siwezi kukupa kura yangu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom