Pichani: Mwizi wa bodaboda anatafutwa

Pole sana mkuu ILA uliishafuatilia mahospitalini? maana hizi Boda boda zina mambo mengi humu barabarani isijekuwa alipatwa na ajali ni ushauri tuu mkuu.
 
mkuu hapo sio inshu ya ajali,manake wapangaji wenzake wamenidhibitishia walimuona na hy pkpk siku alipokuwaanahama na since then hata mke wake hapatikani kwenye simu
 
chamuhimu ni majina yake, makazi yake, je ni mwenyeji wa wapi? mke wake anaitwa nani?. tume details zake ndo atapatikana vinginevyo pole sana. mia
 
Nakushauri ukamuone Sheikh isomwe Al badir, kama unataka kujua inavyofanya kazi nenda Yombo Dovya Tandika relini kuna Toyo mpya imepaki pembeni ya barabara sasa mwaka imekula vichwa sita ndugu na jamaa wakaipeleka hapo wakitelekeza.
Angalizo: Ikisomwa Al badir hata ikija patikana huruhusiwi kuichukua la sivyo na wewe umeumia.
 
Zawadi Nono ndio sh ngapi? maana t-better haizidi 1.4 na hiyo BUK ni ya mda mrefu sokoni kama 1m,ila huyo jamaa anaonekana teja falni hv mvuta bangi ilo pole sana.......
 
Mkuu kama ukimwona wewe msaidie tu mdau, usiwaze zawadi.
Zawadi Nono ndio sh ngapi? maana t-better haizidi 1.4 na hiyo BUK ni ya mda mrefu sokoni kama 1m,ila huyo jamaa anaonekana teja falni hv mvuta bangi ilo pole sana.......
 
Huyo mtu sura yake ni ya kiwiziwizi kabisaaaa,hizi biashara za kumkabidhi mtu mtaji unaohamishika wote inabidi kuwa makini sana na kumuomba Mungu akupe mtu mwaminifu,dah warombo kwa wizi tu hawajambo,pole nikiona sura kama hiyo hata kama ni kaka yake nakupigia mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom