Pichani: Mwizi wa bodaboda anatafutwa, zawadi nono kutolewa

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
1 001.jpg


ndugu wana jf,

kijana kwenye hiyo picha anafahamika kama godwin allen uisso, mkazi wa tabata msimbazi( lakini sasa hivi amehama na nyumba aliyokuwa anakaa) na simu yake haipatikani toka wiki iliyo pita na ya mke wake pia,,,, majirani na wapangaji wenzake wamekiri kuwa alikuwa na tabia ya utapeli…asili yake ni tarakea rombo

sasa story ni hivi, mimi nilimkabidhi pikipiki yangu t-better namba t935bua rangi nyekundu kwa makubaliano ya kuleta hesabu kila wiki...na ndio katokomea nayo kusikojulikana...anatafutwa kwa rb no.ob/rb/19001/2012

anakopenda kutembelea

1. Kigogo mwisho pale darajani
2. Tabata
3. Kimara
4. Mbagala

naomba yeyote atakaye muona atusaidie kumkamata na kutoa taarifa kituo cha polisi kilichopo jirani au piga simu namba.0719 575791,,,zawadi nono itatolewa

asanteni
 
pole mkuu utampata tu! Hebu mcheki mitaa ambayo haipendelei kama Kigamboni hivi
 
  • Thanks
Reactions: Paw
pole sana kwa maumivu hawa vijana wa kiRombo huenda wako kwao Tarakea wanavusha mahindi mpakani Tz na Kenya
Nakushauri katangaze magazetini hasa Tanzania Daima na Nipashe halafu taja na Dau Nono kabisa usilifiche . Hao wachagga watakujulisha alipo
 
mbona mrembo sana huyu? Tembelea Unguja na Pemba huendz kisha wekwa kimada
 
Back
Top Bottom