Pichani mtu mashuhuri - Zawadi yangu JF leo

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
DSC00137.JPG


Nani mzoefu wa kusoma picha atuambie huyu mtu mashuhuri anayeongozwa ni kiongozi mtarajiwa wa nchi gani barani Afrika.

DSC00133.JPG


Hapa akiwasili katika ziara rasmi akikabidhiwa bunch of flours.
 
Ashakum so matusi.... Lazma jamaa walikua wanaogopa

Khaa Janjaweed, kwani vijembe vile bungeni na kumkingia kifua Mr. dhaifu jambo dogo? Kwani kuna aliyefikiria Mama Kiroborobo anaweza kupenya kukalia kiti kile cha kusimamia baraza la kutunga sheria?

Tutaambiwa sasa nchi tunataka iongozwe na maveterani.
 
Hiyo ya kwanza lakini, jamaa nahisi ana shida ya macho! Mbona anatembea kama haoni?
 
DSC00137.JPG


Pata picha rais wa nchi ndio anakagua gwaride la hesima hivyo, huu ndio ukakamavu wa mkuu wanchi unaotakiwa?
 
jinsi alivyoshika hayo maua ni kama amemshikia huyu wa kushoto.....ishara ya kutojiamini, laiti wangelijua kashfa ya huyu bwana wasingempa heshima hii....
 
hehehehehehehh............ Mbavu zangu mie, ni wapi huko!!.
 
aa weweeeee...cha kumbonji huyo...naona yuko wima kinoma hapo!!!lol.....
DSC00137.JPG


Nani mzoefu wa kusoma picha atuambie huyu mtu mashuhuri anayeongozwa ni kiongozi mtarajiwa wa nchi gani barani Afrika.

DSC00133.JPG


Hapa akiwasili katika ziara rasmi akikabidhiwa bunch of flours.
 
Najaribu kutafakari kama huyu bwana ndiye angekua ni Raisi halafu picha yake iko kwenye Noti sijui ingekuaje!
 
Back
Top Bottom