Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

Tulishampa dhamana akaprove UTOVU WA MAADILI.... Tunataka tumpeleke ikulu akaprove nn?.......Kwani ikulu ni sehemu ya majaribio?
Kufanya kosa ni UJINGA kurudia kosa ni UPUMBAVU.
Siamini kama watanzania wako jayari kuwa WAPUMBAVU kwa kumchagua huyu jamaa.
 
Badala ya kujieleza makosa aliy9ofanya ili asamehewe abaki kuwa raia mwema yeye anatafuta huruma ya kuingia Ikulu.
 
Ahh! Rais Shaykh Edward bin Lowassa!

Hapa naomba nimtetee kidogo mzee wangu huyu fisadi aliyelazimika kujiuzulu uwaziri mkuu kutokana na ushiriki wake katika kashfa ya RICHMOND!

attachment.php
 
Nyie mnaoshabikia huyu jamaa kuwa rais 2015, hivi hamjui kuwa huyu jamaa ni balaa kwa ukwapuzi? Kakwapua akiwa nafasi ndogo tu serikalini, vipi akiwa amiri jeshi?
Lakini hata afanyeje, urais atausikia redioni tuuuu, NEC ikimpitisha tu CCM inagawanyika, wenye maadili mema wataondoka, majangili ndo yatabaki. Kumbuka 2015 kutakuwa na tume huru, sidhani kama huyu jamaa ni tajiri kiasi cha kuhonga watz wote.
 
attachment.php
maulid4.jpg

Nafuta kauli kwenye hansadi kwamba havai barkashia, kumbe yumo na kanzu kasoro koti juu. Siasa si mchezo unatakiwa mtu uishi kama huna akili timamu vile, maana ukiwa na ile kitu tunasema personal identification for Imani mambo hayaendi.

Ktk picha ya pili inaonekana amechoka kukaa kitako (maana sio mchezo), kaamua kuweka mikono nyuma. Unamuona mwingine yeyote aliyekaa kwa staili ya Lowassa?
 
Nyie mnaoshabikia huyu jamaa kuwa rais 2015, hivi hamjui kuwa huyu jamaa ni balaa kwa ukwapuzi? Kakwapua akiwa nafasi ndogo tu serikalini, vipi akiwa amiri jeshi?
Lakini hata afanyeje, urais atausikia redioni tuuuu, NEC ikimpitisha tu CCM inagawanyika, wenye maadili mema wataondoka, majangili ndo yatabaki. Kumbuka 2015 kutakuwa na tume huru, sidhani kama huyu jamaa ni tajiri kiasi cha kuhonga watz wote.

una akili sana wewe
 
Ningeshangaa kama huyu bwana asingejibiwa hapa.....

Unashangaa nini kwani mapadri na wachungaji wenu huwa hawavai vitu vilivyofanana na kanzu za misikitini? Au kwa kuwa zimepambwa na rangirangi ndiyo unaona tafauti?

Musijidanganye dini hizi zote asili yake ni huko huko kumoja.
 
Jamaa ana mbinu za medani acha kabisa ..yaani huyu ni stratergist hatari sana

Yote hayo wandg ni wivu tusubiri atangaze nia mbona lowasa tu, Sita yeye aaah au ndio msemo wa kiswahili kunyata anyate kinyonga akinyata kicheche ana nyatia kuku ache chuki binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom