Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

Hapa naomba nimtetee kidogo mzee wangu huyu fisadi aliyelazimika kujiuzulu uwaziri mkuu kutokana na ushiriki wake katika kashfa ya RICHMOND!

attachment.php

photoshop at work ..hajawahi kuvaa mauchafu haya lowassa..
 
We First Lady.if you had no comment,then,there was no need to comment.

You also had no comment, had it not been for First Lady you would've not been read! Hahaaahahahaaa.
 
attachment.php
maulid4.jpg


Nafuta kauli kwenye hansadi kwamba havai barkashia, kumbe yumo na kanzu kasoro koti juu. Siasa si mchezo unatakiwa mtu uishi kama huna akili timamu vile, maana ukiwa na ile kitu tunasema personal identification for Imani mambo hayaendi.

Mh Lowasa anafaa kuliongoza Taifa hili

tuungane kumpa sapoti yetu
 
mimi namuona mzee huyu anatafuta huruma ya watanzania ili aweze kuepuka kuwajibishwa iwapo madaraka yakimuendea rais mkorofi mwenye nia na uwezo wa kupambana na mafisadi.

Sio ambaye hana huruma huruma bali ambaye hakushirikiana naye. Huyu wa sasa hivi hana huruma hata kidogo ndio maana anaendelea kuongoza bila kujali kuwa anatuua, kinachomfanya asimuwajibishe lowasa ni sbb yeye ndie mlaji mkubwa
 
Kwa sasa atangaze jina kuwa anaitwa "Hashim Lowasa" ndo tutampa kura.
 
maulid5.jpg


Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.

Hapo anapiga mahesabu awape sound gani ili wamtumikie 2015
 
Nilisema huko nyuma EL atakuwa raisi wetu wakanipiga madongo.Ukweli ni kwamba simpendi Lowasa kwa sababu ni fisadi,lakini hii haizuii ukweli kwamba he will be our next president.Ana charasteristi ya uongozi nzuri ambayo nashinndwa kui-define pamoja na ufisadi wake.In addition he is hard working na havumilii uzembe.
ENL bana, watu wanapiga madongo yeye kimya, matamasha ya michango makanisani, misikitini na kwenye huduma za jamii kama kawa. Kama hana akili nzuri vile, lakini jamaa anajua anachokifanya. Mwisho wa siku watu watasema ni kweli. Lisemwalo lipo!
 
Siasa wajameni nouma, yaani inabidi uwe kama kina Ray na Kanumba, unafanya vitu ambavyo kamwe usingeweza kufanya kwa dhati ya moyo wako, lakini kwa kuwa kuna unachokitafuta basi inabidi uwe kama mwana Kaole Sanaa Group! Haya baba endelea ni "mchakato"!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom