Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

DU!!!!!!!! mpaka 2015, tutaona mengi sana, nauliza hivi kampeni za urais 2015 zimeashaanza? maana watu naona povu linawatoka
 
maulid5.jpg


Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.

Ha kaamishia kampeni msikitini sasa na nyie waislamu mnampokea kama wakristo? Nilidhani nyie ndo mtakuwa na msimamo kumbe ni walewale msiokuwa na msimamo kama wakristo
 
Mbona mnamsakama mzee wa watu na kumuwekea maneno mdomoni???amewaambia anataka uraisi..au ameshatangaza NIA?
 
Siasa mchezo mchafu, inabidi uwe muongo,mnafiki, mzandiki na ikiwezekana uwe muuaji. Ndio maana mimi sitaki kabisa kujihusisha na siasa.
 
Wapenda ubwabwa hawa bei Yao ndogo

Mchungaji bana ... Hivi hujui watu tumeshakustukia hii ni plate number yako nyingine .. huwa unaitumia kujigongea like na ku support ur silly & pointless allegations against my Muslim brothers . Usiwe na uoga wa paka kutembea gizani njoo kweupe na I'd yako tuliyo izoea ..
 
Mchungaji bana ... Hivi hujui watu tumeshakustukia hii ni plate number yako nyingine .. huwa unaitumia kujigongea like na ku support ur silly & pointless allegations against my Muslim brothers . Usiwe na uoga wa paka kutembea gizani njoo kweupe na I'd yako tuliyo izoea ..

maulid1.jpg

Alipata nguvu alipoenda kumwona mchungaji wa kanisa la kilokole kule Nigeria, aliporudi na kufanya toba yake, kisha kutuliza kichwa kabla hajaanza kampeni rasimi akawaita waandishi wa habari na kuwarushia madongo na alipohakikisha ameweka mambo sawa anatoka kifua mbele, yaelekea yule mchungaji wa kilokole wa Kinaijeria alimhakikishia mambo kuwa sawa baada ya kumtoa pepo aliyekuwa anamsumbua.
 
Lowassa ni Raisi wetu. Full stop. Wanampiga vijembe akiwa nje wakiwa na shida wananyenyekea! Sio

wakristo, Sio waislam, sio viongozi wenzake wa CCM. If they cant beat him why not joining him?

Waache unafiki
maulid2.jpg


Hata misahafu husema aliye nacho ataongezewa na asiye nacho atanyang'anywa hata kidogo alicho nacho.

 
Ha kaamishia kampeni msikitini sasa na nyie waislamu mnampokea kama wakristo? Nilidhani nyie ndo mtakuwa na msimamo kumbe ni walewale msiokuwa na msimamo kama wakristo

Kwa sababu anatafuta kuungwa mkono na watu wa dini zote basi baada ya kutembelea makanisa sasa anatembelea misikiti na baada ya hapo atatembelea MAKABURI ili na wapagani wamwone
 
...............Atakuja kubadili dini huyu kama alivyowahi kufanya Malecela..............anaangalia upepo wapi atapata kura nyingi......
 
Jamaa aaonekana yupo very serious na uraid 2015, anapiga kote kote!!
 
ENL bana, watu wanapiga madongo yeye kimya, matamasha ya michango makanisani, misikitini na kwenye huduma za jamii kama kawa. Kama hana akili nzuri vile, lakini jamaa anajua anachokifanya. Mwisho wa siku watu watasema ni kweli. Lisemwalo lipo!

Jamaa ana mbinu za medani acha kabisa ..yaani huyu ni stratergist hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom