Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,884
6,885
maulid5.jpg


Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.
 
mimi namuona mzee huyu anatafuta huruma ya watanzania ili aweze kuepuka kuwajibishwa iwapo madaraka yakimuendea rais mkorofi mwenye nia na uwezo wa kupambana na mafisadi.
 
labda ingekuwa katika swala msikitini. Lakini mjumuiko kama huo wa maulid-ruhusa. Kwa wakristo anaenda na kwa waislamu anaenda. Tatizo liko wapi ??/
maulid5.jpg


sijawahi kumwona lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.
 
Lowassa ni Raisi wetu. Full stop. Wanampiga vijembe akiwa nje wakiwa na shida wananyenyekea! Sio

wakristo, Sio waislam, sio viongozi wenzake wa CCM. If they cant beat him why not joining him?

Waache unafiki
 
ENL bana, watu wanapiga madongo yeye kimya, matamasha ya michango makanisani, misikitini na kwenye huduma za jamii kama kawa. Kama hana akili nzuri vile, lakini jamaa anajua anachokifanya. Mwisho wa siku watu watasema ni kweli. Lisemwalo lipo!
 
Tumuombee , maana hii speed asije dondoka!
Angedondoka kama wangefanikiwa kumvua gamba akawa mwepesi, lakini kwa sasa kwa kuwa gamba lake bado analo hakuna uwezekano wa kudondoka asilani.
 
Duh!huyu mmasai feki kweli njaa anaiweza,naona kajichanganya na yeye kavua na viatu kabisa...kweli mpaka ifike 2015 tutakua tumeyaona mengi sana aise,haya bwana yetu macho!
 
maulid5.jpg


Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.

Hapa naomba nimtetee kidogo mzee wangu huyu fisadi aliyelazimika kujiuzulu uwaziri mkuu kutokana na ushiriki wake katika kashfa ya RICHMOND!

attachment.php
 
maulid5.jpg


Sijawahi kumwona Lowasa ametilia walao ile kofia ya blakashia, maana nikisema kanzu na koti juu yake nitakuwa nimeenda mbali mno. Jana hapa alichojitahidi ni kuvua tu viatu kwa kuingia mahali patakatifu.
rais wetu mtarajiwa.
 
attachment.php
maulid4.jpg


Nafuta kauli kwenye hansadi kwamba havai barkashia, kumbe yumo na kanzu kasoro koti juu. Siasa si mchezo unatakiwa mtu uishi kama huna akili timamu vile, maana ukiwa na ile kitu tunasema personal identification for Imani mambo hayaendi.
 
Eddo akiukosa Uraisi atakufa kwa pressure maana anatumia nguvu mno kupita maelezo kuutafuta, jamani Ikulu ni mzigo hapafai kukimbiliwa!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom