Kumbe ndio haka kadaraja kenyewe?
Kwani miaka yote kabla ya Jakaya Mrisho Kikwete mlikuwa hamchangii?
Viwanja kigamboni 12,000 per meter square, u want it serious get in touch
Mimi ni mmojawapo ambaye sikupenda kupata kiwanja cha kujenga Kigamboni sababu ya tatizo la kusubiria ferry. Leo ninapoona hili daraja naanza kubadili mtazamo wa kuona Kigamboni si kisiwani tena. Mwenye kiwanja cha Ekari moja mpaka mbili nipm, niko tayari kwa gharama yo yote kwani sasa naona Kigamboni yawa kama :A S 465:Long Island beach ya NY.:A S 465:
Hata nikipata pale Vijibweni sawa tu, maana huko karibu na beach kabisa nako mawimbi ya bahari yakitikisika kwa kishindo cha tetemeko balaa kufunikwa na maji ya chumvi.
daraja fupi hivyo meli zitapita wapi? hakuna hadhi ya daraja la 21 century hapo, litaongeza kero tu.
hiyo ni platform ya construction, daraja litakuwa hivi:
Mimi ni mmojawapo ambaye sikupenda kupata kiwanja cha kujenga Kigamboni sababu ya tatizo la kusubiria ferry. Leo ninapoona hili daraja naanza kubadili mtazamo wa kuona Kigamboni si kisiwani tena. Mwenye kiwanja cha Ekari moja mpaka mbili nipm, niko tayari kwa gharama yo yote kwani sasa naona Kigamboni yawa kama :A S 465:Long Island beach ya NY.:A S 465:
Hata nikipata pale Vijibweni sawa tu, maana huko karibu na beach kabisa nako mawimbi ya bahari yakitikisika kwa kishindo cha tetemeko balaa kufunikwa na maji ya chumvi.
Tumechangia sana baada ya kuonekana miaka hii zikawa nyingi ndio ikaonekana kuna haja ya asilimia 60% ya michango yetu ichangie na serikali imalizie hiyo 40% (kwa hili kudos kwa serikali na si JK pekee si unajua mlolongo huu ni wa siku nyingi) ila na sie wenye hela pia utupongeze zomba kwani kuna shida gani.
Swali la kizushi; Kwani idea ya kujenga hilo daraja imetoka lini? na upembuzi yakinifu umefanyika lini?
Dr, hii ndo Masterplan ya daraja hilo hebu icheki!!!
aisee litapendeza
Ni rikodi nyingine ya kutukuka kwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Ni rikodi nyingine ya kutukuka kwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Asante kwa pic, lakini bado sina hakika na plan hiyo, kwa vile picha hiyo inaonyesha daraja lakujengwa magogoni, lakini wanakojenga sasa si Magogoni, bali ni kule Kurasini baada ya bandari. Laba hii ilikuwa ni plan za awali kwa ajili ya kuruhusu meli zipite, lakin nakumbuka hilo lilikataliwa.
Haya bwana hakikisha linaisha by 2015 kama Magufuli alivyotuhakikishia isije ikawa kama kile kipande cha 60 km cha Ndundu ambacho tuliambiwa kabla ya 2010 kuisha mtu atasafiri toka Mwanza to Mtwara kwa taxi wakti mpaka sasa bado hakijaisha na ndio kwanza zimebaki 38 kilometre
Hiyo nadhani itakuwa ni plan sasa walipokuja kwenye implementation ikabidi waje na plan B maana mchoro wa kwanza unaonyesha limeanza mbali wakati kwenye actual (site) picha inaonyesha limejengwa mita chache toka kingo za bahari
zomba na Kikwete wako huyo mwaka huu hatunywi maji, lolote hata kinachomilikiwa na wageni ni kichwa cha Kikwete, wanifurahisha sana, na tunahitaji watu kama wewe kwani wote kuegemea upande mmoja tu tutasababisha kuongeza uzito upande mmoja na kisha meli kuangukia ubavuni na kuzama.
Kwanini usiende kuzimalizia wewe? au ungeungana na magwanda wenzako mkaenda kuonesha mfano.
Kikwete anafanya kweli.
Kumbe ndio haka kadaraja kenyewe?