hahahaaaa hilo sanduku kuna siku utalikuta limeshuka lenywe darini....
nikishapigwa chepe itakuwa inanihusu nin tena?Bishanga siku ukifa utaacha mzozo duniani lol!
mmmmmhhh na umri huu tayari una bf?mi nilizichana,nikazichoma moto,majivu nikayafunga kwenye kitambaa kichafu,nikatupa porini!
kongosho we kweli great thinker!na nyumba unachoma? Na gari unachoma? Na wadogo zako alosomesha unawadisqulify? Na nyumba alojenga kwenu unabomoa?
Una moyo