Picha. . . .

Mie mkataba ukiisha na ww,na kila kitu kinachokuhusu siwahitaji tena,
Km ni nguo nazigawa,nitahakikisha hakuna chochote kitakachonopa kumbukumbu yako!
Madhara ni kwamba nitakuwa nachukia kila nikiviona,au hata nikiwa na mwingine sitajisikia uhuru kwa kuendelea kuwa na memori za mtu mwingine!!!
 
Bht nafikiria kama ni picha uzipendazo sana sababu ya kumbukumbu binafsi au hata na ndugu/marafiki zako?

Hehehe au watu wawe wanamchana mhusika?

khaaa Lizzy, nizipendee nini tena? zitarudisha maumivu bure.

lol....unahana upande mmoja kumtoa muhusika kisha ubakishe kipande?
 
mamkwe hii imenikumbusha rafiki yangu aligombana na BF wake ikafika kuamua kuchanachana picha zao nyingi pamoja na za kuvalishana pete nilichofanya nilimnyang'anya nikahifadhi waliporudiana alifunga safari kuja kuniomba nimrudishie tena na nilifanya hivyo mpaka leo wameoana na zile picha wanazo.
:focus:hakuna haja ya kuendelea kuzihifadhi kama uwezekano wa kurudiana haupo. unakuwa na mahusiano na mtu mwingine unapoendelea kuhifadhi picha hizo inaweza kuwa moja ya kusababisha ugomvi

Asante kwa hii experience mkwe.
Basi itakua ni vizuri mtu akaziweka kwa muda just to make sure hamna kurudiana. . . maana mkirudiana ipo siku mtataka kukumbuka enzi zile mshindwe kabisa.

Bishanga kama huna sababu ya kuweka hivyo vitu get rid if 'em.Vya thamani uza. . . vinavyofaa kugawa gawa na visivyofaa tupa.
 
Lizzy binafsi if we are done we are done.....
I want nothing to remind me of you, kwanza ili iweje?
Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....
A thought can be triggered by many things..........not necessarily a photo.....
 
  • Thanks
Reactions: bht
khaaa Lizzy, nizipendee nini tena? zitarudisha maumivu bure.

lol....unahana upande mmoja kumtoa muhusika kisha ubakishe kipande?
Hehehe. . . yeah unamchana mhusika we unabaki na kipande kinachokuhusu.
 
Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....
A thought can be triggered by many things..........not necessarily a photo.....

Well kumbukumbu ambazo huna uwezo wa kuziondoa (sio mali yako) huwezi kusumbuka nazo. Ila picha na zawadi ni kama unajitakia mwenyewe kukumbuka.

Cantalisia hongera mwaya kwa kufuta kila kinachohusu zamani.
 
zile picha ni sehemu ya maisha yako uliyopitia, ni muhimu ku zienzi sababu sidhani kama kutakuwa na bad memories tu kuhusu picha pale mnapoachana kuna wakati mzuri pia....picha ni picha mkiachana si lazima kuzichana unaweza kuzihiadhi kwa ukumbusho wa maisha yako
 
Nafikiri issue hapa ni kwanini hutaki kukumbuka ...... hutaki kumkumbuka huyo mtu, hutakikukumbuka moments au hutaki ''ajae'' aone yaliyopita kwako.
 
Asante Lizzy,
Nikianza upya inakuwa ni upya wa ukweli,
Mpaka sehemu za kwenda zinakuwa tofauti kbs!!!!
 
right to the point........
Watu sio wema sana ndo maana kila kilichopita wanakiona kama ni ''audit trail'' amabao ''ajae'' anaweza kuitumia kufanya assessment.
 
Asante Lizzy,
Nikianza upya inakuwa ni upya wa ukweli,
Mpaka sehemu za kwenda zinakuwa tofauti kbs!!!!
That is alright, kwa mwanzoni.
lakini utakwenda tu hata zile sehemu za zamani........usiwe selfish......utachagua wewe sehemu za kwenda......yeye je?
 
zile picha ni sehemu ya maisha yako uliyopitia, ni muhimu ku zienzi sababu sidhani kama kutakuwa na bad memories tu kuhusu picha pale mnapoachana kuna wakati mzuri pia....picha ni picha mkiachana si lazima kuzichana unaweza kuzihiadhi kwa ukumbusho wa maisha yako

Napenda unavyofikiria Shantel. . .
Kama picha na mimi nipo ntaihifadhi mwa kumbukumbu binafsi.
 
na nyumba unachoma? Na gari unachoma? Na wadogo zako alosomesha unawadisqulify? Na nyumba alojenga kwenu unabomoa?

Una moyo

Kila kitu hata nguo alizo ninunulia nazichoma moto sitaki kabisa kukumbuka tuliko toka yaani naanza upya kabisa nateketeza kila kitu
 
Nafikiri issue hapa ni kwanini hutaki kukumbuka ...... hutaki kumkumbuka huyo mtu, hutakikukumbuka moments au hutaki ''ajae'' aone yaliyopita kwako.
Kwasababu sio sehemu ya maisha yake tena. . . Kumbukumbu mbaya. . .
Na nadhani ishu ni kutokumkumbuka huyo mtu pamoja na moments zinazomhusu ambazo hazikua nzuri sana. Sema kwa kufanya hivyo mtu anajinyima uhuru wa kukumbuka hata yale mazuri yaliyotokea kipindi hicho.
 
That is alright, kwa mwanzoni.
lakini utakwenda tu hata zile sehemu za zamani........usiwe selfish......utachagua wewe sehemu za kwenda......yeye je?
Inamana na huyo mpya atataka tuwe tunaenda kule nilikokuwa naenda na yule wa zamani?
Km akichagua mie nitamshauri,na kupendekeza kwengine,
Ila km akisisitiza haina neno tutaenda tu,hope itafika mahali nitasahau yote na kuendelea na maisha mengine.
 
Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....
A thought can be triggered by many things..........not necessarily a photo.....
At least it is under my capability to get rid of one of the catalysts that could have speeded up the memories.....

Otherwise I I agree with yo view and Lizzy's when it comes to yale yakaayo kwenye mbongo zetu
 
Back
Top Bottom