Picha zote za weekend maeneo tofauti tofauti

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Mambo vipi mazee
Kuna picha hapa za bongo watu wanavyojirusha katika siku zote tatu kuanzia ijumaa Joe Thomas mpaka Jumapili Eve na fat Joe
Huwezi amini watu wanaposema bongo hali ngumu ya maisha
237.jpg

Joe Thomas siku alipotua bongo
245.jpg

Joe Thomas akikamua
243.jpg

mikono juu

255.jpg

EVE akikamua.

256.jpg

Ilikuwa ni wikiend ya kujirusha tu Bongo . Kuanzia na kina Joe Thomas, Tanto Mentro & Devonte na Tanya Stephens , sherehe za miaka 3 za THT na mwisho kufunga kazi kwa Fat Joe na Eve . Bongo Kumekucha!!! bongo raha tele!!! ( Picha zote kwa hisani ya Abdallah Mrisho )
254.jpg

Fat Joe akikamua

251.jpg

Mwana FA
249.jpg

EvE akikamua
247.jpg

THT miaka 3
246.jpg

Wabongo wakipagawishwa na EvE
242.jpg

Ni kujirusha tu kwenda mbele
240.jpg

Nargis Mohamed (kulia) na shogae
239.jpg

...unamkumbuka Abby (mwenye kilevi mkononi) wa Big Brother alipokuwa na Mwisho Mwampamba?.. nae alidata kwa Joe Thomas
238.jpg

Wabongo wakijirusha kwenda mbele
234.jpg

Afande Sele akisalimiana na First Lady Mama Salma katika sherehe za THT miaka 3.
233.jpg

THT miaka 3, wadau kutoka Vodacom, Mwamvita Makamba (kushoto) na Fina Mango nao walikuwepo
230.jpg

Rais Jakaya Kikwete, Jumatatu alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 3 za kuanzishwa kwa taasisi ya Tanzania House Of Talents, zilizofanyika Karimjee gardens na kusema kuwa amefurahishwa sana na burudani aliyoipata.
229.jpg

Ni kujirusha tu Bongo
 
Huyo mtoto Nargis ndiyo kakua hivyo?

Anayevuma kwenye bongo photoblogosphere Michuzi, kumbe babuji yumo.
 
Last edited:
Kwanza jiulize dar ina watu wangapi, pili ni wangapi waliopata nafasi ya kwenda kujitanua.
 
Kwa hiyo unasemaje?
Unauliza wabongo wako wangapi na hapo wangapi walipata nafasi ?kwani nchi gani watu huenda kwenye tamasha hata 0.0005 ya idadi ya watu ktk hiyo nchi.

Kuhusu swala la kujirusha bongo watu wanamuda mkononi asikwambie mtu,hata sehemu ziko kibado tu kadiri ya uwezo wa mtu.
 
dah picha namba nane na tisa naona mpigaji alikua anajitahidi kupata de angle of elevation kubwa kuliko....anatamani angekua viatu!duh
namba 22 mweee na reserve zangu comments

ol in ol t seems wabongo tunazo kinyama! hizi ndo picha za kuwashow wawekezaji toka nje na wapenda toa misaada wajue hali halisi ya wachache wa nchi zetu africa!

ujiji huko hiyo buki 10 ya kiingilio sijui wao kuipata na kuspend kwa week 2 ni ndoto!
 
Nimefurahia sana picha nyingine kwenye hiyo site iliyokuwa linked.Kuna picha za madaraja na masanamu za kufurahisha sana.

Shukurani kwa kuleta uhondo huu.
 
mie mwenyewe nimei add kwenye favorites zangu kuwa najipatia news za bongo maana ninazo nyingi nyingi za hawa waandishi wetu wa bongo..kuona picha tu za li nji letu kwaleta faraja na hamu ya kurudi
 
Kwa hiyo unasemaje?
Unauliza wabongo wako wangapi na hapo wangapi walipata nafasi ?kwani nchi gani watu huenda kwenye tamasha hata 0.0005 ya idadi ya watu ktk hiyo nchi.

Kuhusu swala la kujirusha bongo watu wanamuda mkononi asikwambie mtu,hata sehemu ziko kibado tu kadiri ya uwezo wa mtu.

Sidhani alimaaanisha nchi nzima, bali Dar es Salaam.
Naafiki alichoeleza Darwin; percentage ya watu wanaokwenda outing kwa mwezi hapa Dar ni ndogo. Ukisema 0.0005% ni idadi ya wasioenda outing kwa mwezi huko mamtoni sitashangaa.

Ufukara Tanzania umeongezeka sana.
 
mie mwenyewe nimei add kwenye favorites zangu kuwa najipatia news za bongo maana ninazo nyingi nyingi za hawa waandishi wetu wa bongo..kuona picha tu za li nji letu kwaleta faraja na hamu ya kurudi

tupe hizo nyingine
 
dah picha namba nane na tisa naona mpigaji alikua anajitahidi kupata de angle of elevation kubwa kuliko....anatamani angekua viatu!duh
namba 22 mweee na reserve zangu comments

ol in ol t seems wabongo tunazo kinyama! hizi ndo picha za kuwashow wawekezaji toka nje na wapenda toa misaada wajue hali halisi ya wachache wa nchi zetu africa!

ujiji huko hiyo buki 10 ya kiingilio sijui wao kuipata na kuspend kwa week 2 ni ndoto!

Kitu ambacho nimenoti hapa ni kwamba Bongo ingawa nchi yetu ni maskini sana lakini wananchi wake ingawa wana matatizo kibao lakini pamoja na matatizo yote watanzania bado wako HAPPY hamna STRESS
 
Mbona kimya kimya wadau? kumbe kuna uhondo namna hii huku hatushtuani..HDD yangu ilikuwa na baadhi ya milipuko ya weekend.
Huyo mtoto Nargis ndiyo kakua hivyo?
Mkuu hapo GT ndio anakuambiaga kawa gobole.....i can agree with him......mcheki kwenye video hii [media]http://www.youtube.com/watch?v=rXVuSdcwNIw[/media] enzi zake kabla hajaanza kufakamia michemsho ya break point na beer..... 1:45,4:19.... katoka fresh
 
Kweli kaka siku hizi kawa gobole !!!
 
Jamani nimeangalia web ile ya Nifahamishe...na nimeperuzi page mbali mbali kuna sehemu...amesema madaraja kumi marefu dunia...Kuna moja kasema linamwaga Maji tani 190 kwa dakika(Wrong)
Kuna jingine kasema lina KM 35,613 Wrong...Haiwezekana rudiasi ya dunia ni Km 18 elfu mzunguko...hii inamaana hilo Daraja lina zunguka dunia mara mbili...?
Tukiwa na web kama hizi harafu wanafunzi wakasoma na kujibu maswali au...kueleza mbele za watu kuwa ni hivyo basi tumekwisha....
Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda kwenye linki hii List of longest suspension bridge spans - Wikipedia, the free encyclopedia

Regards
Buswelu
 
Ndugu yangu buswelu utakuwa unakosea sana kama utakosoa watu bila ya kufanya utafiti au kuangalia vizuri

Kuhusu daraja linalomwaga maji tani 190 kwa dakika ni kweli na kwa ufahamu zaidi jinsi daraja hilo linavyomwaga maji soma kipande hiki

The fountains at the Banpo Bridge were installed on September ninth and have since become a major tourist attraction. It has nearly 10 thousand nozzles ( more exactly 9, 380 ) on either side of the bridge that shoots out 190 tons of water every minute. According to the Seoul mayor, Oh Se-Hoon, the fountain bridge would help acknowledge Seoul as an eco-friendly destination amassing more tourists. But unless the fountain is being used as a means of harnessing energy, the eco-friendliness of this fountain is skeptical.

au gonga hapa kwa full details Latest Seoul Major Tourist Attraction : Banpo Bridge

Kuhusu daraja utakuwa umeangalia vibaya uliposema hizo taarifa si za ukweli angalia daraja hilo kuna KM 35.613 sio KM 35,613 kama ulivyoona wewe

FANYA UTAFITI KABLA YA KUKOSOA
 
In addition, in some notations a decimal comma is used in place of a decimal point making KM 35.613 = km 35,613

Sometimes you gotta use common sense. If you can dispute the KM 35 then you would be talking.
 
nakshi-nakshi2.jpg

Mzee Yusuf na sahani la 'paund' wakati wa shoo yake mjini London

nakshi-nakshi3.jpg

akina mama wa kibongo wakijimwaya na nakshinakshi

nakshi-nakshi.jpg

baadhi ya waimbaji wa Jahazi Modern Taarab
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom