Hili ni fundisho kwa wale mlio na uwezo ku design na kujenga nyumba zenu wenyewe.
Nadhani watu wengi wamezoea kununua makabati au kujengea makabati kwenye nyumba/vyumba vya kulala.Ni vizuri kama una nafasi ya kutosha kuachana na mtindo huo na kujenga walk-in closet..faida za walk-in closets ni nyingi:
1. Unajipa nafasi ya kuwa na mpangilio wa nguo na accessories kama viatu, mikoba, na vitu vingine
2.Unakuwa na chumba cha kulala ambacho ni clutter free na washauri wa masuala ya afya au feng shui watakuambia ni jinsi gani unatakiwa uweke kitanda chako katika mtindo wa kupunga +ve energy kwa kutokuweka vizingiti....
3. Unakuwa na unadhifu katika mpangilio wa nyumba yako
4. Ni rahisi kuona vitu usivyovihitaji na kuachana navyo kupitia kuvigawa, kuviuza etc.
duh! i had never seen it that way before.
Habari ndio hiyo ndugu...mambo ya walk-in closset hata bongo yapo.Hii ya Mariah Carey siyo kitu ajabu sana.Lbda kwa vile yeye ni celebrity majuu tu.
Sasa kwa nini mara nyingi anaonekana NUSU UCHI????
Sasa kwa nini asiuze baadhi awape watu maskini?
Mda wa kuishi duniani ni miaka 80 tu: Mungu akikupendelea sana- basi 90!
hiyo ndio life style ya ma celebrity karibia wote wa magharibi na ulaya...ukiangalia MTV utasikitika kabisa hapo bado nje angalia parking yake ndio utashangaa kama ni mpenzi wa porch and fancy cars..................wangeangalia africa tunavyokufa kwa kukosa aspirin duuu wangekuja hata kujenga zahanati.....au kutoa msaada wa kununua madawa.....hasa wamama na watoto
Wajamaa utawajua tuu, na serikali zitafanya kazi gani(mind you zinakusanya kodi).
Ni kweli ni nguo zako lakini how can you own so many magauniz kiasi kwamba unaweza kuyavaa miaka mitatu bila kurudia moja katika ulimwengu huo huo ambao mwanamke mwenzanko anatembea Uchi????[/B]
...Sijawahi, my Dear for the simple fact that katika hiyo milo mitatu unayosema mara nyingi mimi na mama inabidi tujibane kidogo ili watoto washibe kwa maana ya kwamba haina uhakika na hisani haitakiwi kuzidi uwezo!Its because of indivualistic tendencies inherent in almost everyone one of us-- everybody for him/herself and GOD for us all!
Wewe ulishawahi kujiuliza mara ngapi kwanini unamudu kula milo mitatu kwa siku wakati jirani yako labda hawezi kumudu hata chai ya asubuhi?
...Sijawahi, my Dear for the simple fact that katika hiyo milo mitatu unayosema mara nyingi mimi na mama inabidi tujibane kidogo ili watoto washibe kwa maana ya kwamba haina uhakika na hisani haitakiwi kuzidi uwezo!
Lakini definitely, definitely siku nikiweza kuwa na ndoo kumi zilizojaa mchele na sukari stoo kwa maana ya kuwa na a surplus of everything nitapaswa kujiuliza mno juu mtoto wa jirani anayekwenda shule na mwanangu huku akiwa hajakunywa chai asubuhi!
lakini wakati tukisubiri kuwa na hiyo surplus tunafanya kile kilicho kwenye uwezo wetu kwa kumuita mtoto wetu aje kula na mwenzake aliyekuwa anacheza naye na sio kumuambia yule mtoto mwingine aende kwanza nyumbani mwenzake anataka kula!!
Wewe je Dia, huwa unafanyaje?