Picha Zisizo Za Kawaida 5: Familia Yenye Watoto 18 Wote Mama Mmoja?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Picha Zisizo Za Kawaida 5: Familia Yenye Watoto 18 Wote Mama Mmoja?

Kwa Tanzania Inawezekana? Ni familia ipi yenye watoto wengi wa Mama Mmoja unaifahamu?

The Duggar family are an Arkansas family, headed by Jim Bob Duggar and Michelle Duggar, who have been repeatedly featured in the news and entertainment media for having seventeen children. The family has been filmed for Discovery Health Channel and The Learning Channel television. On May 9, Michelle Duggar announced on the Today Show that she is pregnant with their 18th child and is due on New Years Day 2009.

This man and his wife both sell real estate for a living. Although, I doubt she sells much as she also homeschools all the kids!! What a job.. Notice how neat their house is kept. The folks on the Today Show said that when this family left their green room (the place they go before they are on the show), it was cleaner than it was when they came. Shows it can be done with organization and I'm sure they have lots of that with a family that big. They also built their own home.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • ATT3280262.jpg
    ATT3280262.jpg
    79.8 KB · Views: 1,472
  • ATT3280263.jpg
    ATT3280263.jpg
    60.3 KB · Views: 1,438
  • ATT3280264.jpg
    ATT3280264.jpg
    52.2 KB · Views: 1,414
  • ATT3280265.jpg
    ATT3280265.jpg
    53.9 KB · Views: 1,457
  • ATT3280266.jpg
    ATT3280266.jpg
    57.2 KB · Views: 1,367
  • ATT3280267.jpg
    ATT3280267.jpg
    67.6 KB · Views: 1,370
  • ATT3280268.jpg
    ATT3280268.jpg
    54.2 KB · Views: 1,410
  • ATT3280269.jpg
    ATT3280269.jpg
    57.2 KB · Views: 1,351
The Duggars' ten sons and seven daughters (including two sets of fraternal twins: one boy/girl set and one boy/boy set), all of whom have names which begin with the letter J, are as follows:

Names
Date of Birth
Notes
1
Joshua James
March3,1988 (1988-03-03) (age 20)
oldest child; getting married 9/26/08 to Anna Keller

2
Jana Marie
January12, 1990 (1990-01-12)(age 18)
twin of John-David

3
John-David
January 12, 1990 (1990-01-12) (age 18)
twin of Jana

4
Jill Michelle
May 17, 1991 (1991-05-17) (age 17)

5
Jessa Lauren
November 4, 1992

6
Jinger Nicole
December 21, 1993
pronounced like "Ginger"

7
Joseph Garrett
January 20, 1995

8
Josiah Matthew
August 28, 1996

9
Joy-Anna
October 28, 1997

10
Jeremiah Robert
December 30, 1998
twin of Jedidiah

11
Jedidiah Robert
December 30, 1998
twin of Jeremiah

12
Jason Michael
April 21, 2000

13
James Andrew
July 7, 2001

14
Justin Samuel
November 15, 2002

15
Jackson Levi
May 23, 2004
birth featured on Discovery Health Channel special

16
Johannah Faith
October 11, 2005
birth featured on Discovery Health Channel special

17
Jennifer Danielle
August 2, 2007
birth featured on Discovery Health Channel special

18
Junborn
due January 1, 2009
announced May 9, 2008
 
Family life

Jim Bob Duggar and his wife Michelle, who was named Young Mother of the Year in Arkansas in 2004, are conservative Baptists who endorse the Quiverfl movement and the teachings of Bill Gothard. Mr. Duggar is a former state legislator who served in the Arkansas House of Representatives from 1999 to 2002. He is now a real estate agent.

Jim Bob Duggar and his wife report that their children are blessings from God, since his wife miscarried while on birth control and was able to conceive many more times once she stopped taking birth control!

The Duggars live debt-free, which Mr. Duggar has said is "the fruit of Jim Sammon's Financial Freedom Seminar" he attended years ago.

The Duggars raise their children using the buddy system, in which an older sibling raises a younger sibling, instead of the parents doing it themselves. The older buddy "will get the younger ones' meals." According to Mrs. Duggar, "They help them with their little phonics lessons and games during the day and help them practice their music lessons.

They will play with them or help them pick out the color of their outfit that they want to wear that day, and just all of those types of things."

~WOW !

What a family ?? !!!
 
Hii story naijua. Nipo chuoni Arkansas and this family made news kipindi fulani. I even had to do a paper on them. Yani wazazi hawaamini kutumia family planing kwa sababu Mungu alisema "Nendeni mkaijaze dunia."
 
Mkuu; asante sana.

Issue kubwa ni Malezi na Elimu. Lakini naona jamaa wako vizuri tu.

Mimi naifahamu familia moja ya Wajomba zangu, walizaliwa 11 katika familia yao na mama moja, na wote sasa hivi wanafamilia. Kwa sasa watatu wamekufa wakiwa watu wazima. Mama yao alikufa 3 years ago. Mtoto Mkubwa alikuwa na miaka 65.
 
Mimi baba yangu wame zaliwa 14 na mama mmoja. Babu yangu aliji tahidi kuwa somesha wote na kila aliye taka kusoma kasoma mpaka kiwango cha juu kabisa.
 
Du!!!!!!!!!! ukistaajabu ya Firauni Utaona ya ............

Yaaani ishu imetulia ingekuwa mimi na mshiko ninao ningezaa 20 children kwani unachotakiwa usiwatese kama Mr .Jim Bob Duggar yeye mshiko anao ndio maana mambo yake yametulia inapendeza sio wabongo mtawatesa mpate dhambi acha kabisa panga uzazi lakini kama unazoooooooo pooooooooooooooowa
bye
 
Taabu yangu Tz ni kwa wasomi!

Yaani utakuta Prof. mzima eti ana watoto wawili!!

Hebu fikiria: halafu Mmachinga ana watoto 8!

Je kweli wasomi do we do justice to this nation namna hii??

Kwa nini basi msomi usijitahidi kuwa na angalau basi 5 kids jamani??

Mbona hamtaki genes zenu zichangie ktk future Tz..iliyo vibrant na wasomi wengi??

Uwezekano wa mtoto wa Prof.. kutopata opportunity kusoma hadi college Tz ni mdogo!

Wasomi Tz mpo??
 
Uamuzi wa kuwa na watoto wa ngapi si binafsi mkuu? Hata professor azae watoto 20 una hakika gani hao watoto wata rithi genes nzuri za baba? kwa mtu yoyote aliye elimika anajua umuhimu wa kuwa na watoto unaoweza kuwamudu ndiyo maana aliyesoma ana watoto wachache na kama ulivyosema asiye soma huwaga anakuwa na watoto wengi zaidi.
 
Mkuu;

Hili swali lako ni la msingi sana. Sijui wataalamu wanatuambiaje kwa hilo.
 
Familia ya shangazi wangu yaani shangazi na mumewe walizaa watutu kumi na nne! wote wamekua na wote wako hai! Ila ilikuwa enzi za mwalimu, mume wa shangazi alikuwa mtumishi wa serikali, shangazi mama wa nyumbani, si unajua tena enzi za mwalimu kipato chake kilitosha familia nzima!
Ingawaje watu walisema alikuwa na juju kwani watoto wake woote walikuwa wakifaulu darasa la saba, woote hadi wa mwisho! na enzi hizo ilikuwa ni mafanikio makubwa!
 
bibi yangu mzaa babu alikuwa na watoto 17,2 kutoka kwa mume wake wa kwanza na 15 mume wa pili.midume mitatu wote wanawake.
 
Mimi kwetu tulizaliwa 8 na hapa nilipo nina watoto 6!.

Nazifahamu familia chache zenye watoto wengi wa baba mmoja na mama mmoja. Moja ni familia ya Majebele Mahindi na Familia ya Mwalimu Maganga wa Chango'ombe. Hawa Maganga japo sikumbuki excatly wako wangapi ila walisherehekea miaka 50 ya ndoa yao wakiwa fit, watoto wao wote wakiwa ni Univesity graduates, mimi namkumbuka jina last born wao akiitwa Christina Maganga. Watoto wao wote wanafanya kazi nzuri, mmoja ni boss BOT, mmoja ni Boss TRA, mmoja ni boss Unicef, wengine wako nje ya nchi. mabinti wa familia hiyo wote wameolewa na wanaume wa maana na wametulia kwenye ndoa zao!.
 
Mimi kwa shanagazi yangu walizaliwa kumi nane(18).Wamefariki wanne sasa wapo kumi na nne(14)
 
Ni hali ya maisha tu! lakini kuwa na watoto wengi ambao unaweza kuwatunza vizuri ni bora zaidi
 
Mimi kwetu tulizaliwa 8 na hapa nilipo nina watoto 6!.

Nazifahamu familia chache zenye watoto wengi wa baba mmoja na mama mmoja. Moja ni familia ya Majebele Mahindi na Familia ya Mwalimu Maganga wa Chango'ombe. Hawa Maganga japo sikumbuki excatly wako wangapi ila walisherehekea miaka 50 ya ndoa yao wakiwa fit, watoto wao wote wakiwa ni Univesity graduates, mimi namkumbuka jina last born wao akiitwa Christina Maganga. Watoto wao wote wanafanya kazi nzuri, mmoja ni boss BOT, mmoja ni Boss TRA, mmoja ni boss Unicef, wengine wako nje ya nchi. mabinti wa familia hiyo wote wameolewa na wanaume wa maana na wametulia kwenye ndoa zao!.

Mh Pasco,Wanaume wa maana ni wepi?
 
Back
Top Bottom