Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Picha zilizo shinda katika mashindano ya picha
<br /><i>Picha ya tatu inatia huzuni sana..<br />
kabla hujafa hujaumbika kwa kweli..<br />
Mngu tu atusaidie..</i>
Hiyo Picha ya tatu ilipigwa Somalia wakati wa njaa kali miaka kadhaa iliyopita. Huyo mtoto alikuwa anatambaa kuelekea walipo watoa misaada wa mashirika ya UN, na akawa anazidiwa kutokana na njaa kali, huku huyo tai akiwa standby anamsubiria afe ili aanze kufaidi mzoga. Mpiga picha wa picha hiyo inasemekana alikuwa ni Mwingereza, ambaye baada ya kukishuhudia hicho alichokiona hapo, na kupiga picha hiyo, alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo.Mpiga picha ya tatu alichukua hatua gani baada ya kumuona huyo mtoto?
Hiyo Picha ya tatu ilipigwa Somalia wakati wa njaa kali miaka kadhaa iliyopita. Huyo mtoto alikuwa anatambaa kuelekea walipo watoa misaada wa mashirika ya UN, na akawa anazidiwa kutokana na njaa kali, huku huyo tai akiwa standby anamsubiria afe ili aanze kufaidi mzoga. Mpiga picha wa picha hiyo inasemekana alikuwa ni Mwingereza, ambaye baada ya kukishuhudia hicho alichokiona hapo, na kupiga picha hiyo, alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo.
Mimi na wewe hatuwezi jua ila pia ametusaidia kujua hali halisi ya maisha na matukio hapa duniani, wakati wengine wanatupa chakula wengine hali halisi ndio hiyo. Mungu atunusuru na majanga ya ukame na njaa kama picha hiyo inavyoonyesha ni huzuni kubwa.Mpiga picha ya tatu alichukua hatua gani baada ya kumuona huyo mtoto?
<br />Mpiga picha ya tatu alichukua hatua gani baada ya kumuona huyo mtoto?
MPENDWA, KWA KUONGEZEA HAPO..........
mpiga picha alimuacha na kuondoka bila kumsaidia huyo mtoto, baadaye ikajulikana kuwa huyo mtoto alikufa na kuliwa na huyo tai. habari hii ilipoenea na mpiga picha alishutumiwa sana na wanaharakati na hata mchumba wake waliyetarajia kufunga naye ndoa alimkataa kwa kusema hataki kufunga ndoa na mtu katili kama huyo! hayo mashutumu toka kwa watu mbalimbali yalipomzidi alijuiua kwa kujinyonga!
hiyo picha inahuzunisha jamani,
si picha tu hapo,
ni msiba kamili wa somalia,
msiba usiisha huko somalia,
msiba endelevu wa bara la afrika,
ee Mwenyezi Mungu tunusuru watu wako!