Picha zilizo nihuzunisha moyoni mwangu ni hizi

Mpumbavu alisema hakuna Mungu..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..somalis wanajiua wenyewe kwa vita visivyoisha vya kipumbafu..mungu wao ni shetani ambaye yuko duniani kuchinja lkn ukimpa nafasi
Hakuna mungu!
<br />
<br />
 
Uroho wa madaraka unawafanya viumbe wasio na hatia wanateseka.
 
[h=3]DK. KIKWETE,DK. SHEIN, DK. BILAL, RAIS MSTAAFU DK. KARUME, MAALIM SEIF NA BALOZI SEIF ALI IDDI WAKITEMBELEA VIWANJA VYA MAISARA KUANGALIA MIILI YA MAREHEMU[/h]


Imewekwa na MAPARA at <a class="timestamp-link" href="http://othmanmapara.blogspot.com/2011/09/rais-wa-tanzania-dk-mrisho-jakaya.html" rel="bookmark" title="permanent link"><abbr class="published" title="2011-09-10T22:37:00+03:00">10:37 PM</abbr> 0 Maoni Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Google Buzz
Links to this post


[h=3]DK.SHEIN AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU[/h]

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kuhusiana na kutokea kwa Ajali ya Meli usiku wa kuamkia leo huko katika mkondo wa Nungwi.



WAANDISHI wa Habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kwa Wananchi kuhusiana na ajali ya Meli ya MV Spice.





MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akiongoza kikao cha taarifa ya Rais wa Zanzibar akiitowa kwa Waandishi wa Habari wa vyomba mbalimbali Ikulu ya Zanzibar kutokana na ajali ya Mele ya MV.Spice​

Imewekwa na MAPARA at <a class="timestamp-link" href="http://othmanmapara.blogspot.com/2011/09/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa.html" rel="bookmark" title="permanent link"><abbr class="published" title="2011-09-10T22:17:00+03:00">10:17 PM</abbr> 0 Maoni Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Google Buzz
Links to this post




[h=3]WANANCHI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA KUTAMBUA MIILI YA NDUGU ZAO.[/h]


Imewekwa na MAPARA at <a class="timestamp-link" href="http://othmanmapara.blogspot.com/2011/09/wananchi-wakiwa-katika-viwanja-vya.html" rel="bookmark" title="permanent link"><abbr class="published" title="2011-09-10T22:01:00+03:00">10:01 PM</abbr> 0 Maoni Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Google Buzz
Links to this post




[h=3]DK. SHEIN AKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO NUNGWI AKIJUMUIKA NA WANANCHI KUPOKEA MAJERUHI NA MAITI[/h]




























































MMOJA wa Abiria aliyekuwa katika ajali hiyo Khamis Jabu Faki (62) akizungumza na Mwandishi wa Redio Zenj Fm Hafidh Kassim baada ya kufikishwa katika ufukwe wa pwani ya Nunwi akielezea jinsi ya ajali ilivyotokea.


WANANCHI wa Kijiji cha Nungwi wakiwa ufukweni mwa Bandari ya Nungwi wakiwasiliana na waokoaji wakiwa baharini.

MAJERUHI wa ajili ya Meli ya Spice wakipata huduma ya kwanza baada ya kuwasal katika bandari ya Nungwi baada ya kunusurika.





WANANCHI wakiwa katika Ufukwe wa Bandari ya Nungwi kuwatambua watu wao

MOJA ya boti inayoopowa maiti na majeruhi ikiwa na miili ya watu waliokufa katika ajali ya meli ikiwa katika bandari ya Nungwi.

HALI ya uokoaji ikiendelea katika pwani ya Nungwi.

WANANCHI na Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa na miili ya marehemu wakiitowa katika boti za uokoaji bandari ya Nungwi.

ASKALI wa Jeshi la Wananchi wakitowa msaada wa katika zoezi hilo la uokoaji wakiwa katika bandari ya Nungwi.

WATALII kutoka Nchi Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa Meli ya Spice iliozama katika Mkondo wa bahari ya Nungwi.

MSAADA hutolewa popote ndivyo inavyoonekana Watalii kutoka Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi


MTALII kutoka Ufaransa Jullie akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa mtoto aliyenusurika katika ajali ya Meli ya Spice baada ya kuokolewa wakiwa katika bandari ya Nungwi.

MWANDISHI wa habari gazeti laZanzibar Leo Ramadha Makame akimuhoji mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo katika ufukwe wa bahari ya Nungwi​
 
Halafu yale mambwa yanayokunywa Damu NATO..yanasema yanaijali sana Afrika kwa kupiga mabomu Libya why yasije hapa kuleta hizo hela watu hawa wapate chakula na kuwaondoa Al shabab?!! yalaniwe haya mauaji ya Nato na vizazi vyao...

Mungu ibariki Afrika...wape hawa ndugu zetu mvua
 
TANZANIA TUJIFUNZE KUTOKANA NA HISTORIA! hii ni mara ya pili sasa, miundombinu ya majini iboreshwe, Tutaangamia wote!
 
Oooooo Mungu wangu turehemu waja wako, pale palipo na vita weka amani, tuepushe na majanga haya mfalme.
 
Tuko wote watanzania tumwombe sana MUNGU atuepushe na majanga haya yanayotupitia kila kukicha
 
Edzapiro.jpg
 
this is horrible ma fellow afrikaans these are not kids bt malnutrition iv seen one some days ago a child nearly dead & the eagle is waiting 4 his death 2 eat lets pray GOD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom