Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,709
Ngongoseke una makaratasi au ndiyo unangoja kusombwa kama samaki wafu? Sema wenzio tukusaidie maana hatuko huku kwa kubeba mabox bali kwa taaluma zetu kubwa tu mwanangu.
Mkuu unataka mtu asifiwe just for the sake of it!? kanifurahisha alivyokuwa anashangaa kasri hadi aibuAnother great thinker' haya wewe mtanzani pyua na uchungu na nchi yako unasubiri nini kwenda leba kujifungua?
Wakati najiunga jf mara kwanza kabla sijala ban ya life nlikuwa nampinga sana jk kwa mambo mengi, lakini nilikuja kugundua mambo mengine mnayakuza humu jf kwa chuki zenu zisizo na maana,watu gani nyie msio sifia hata kitu kimoja mnajua kukosoa tu, hata hatua za maendeleo mnaponda tu kama sio wivu na chuki ni nini?
Ngongoseke una makaratasi au ndiyo unangoja kusombwa kama samaki wafu? Sema wenzio tukusaidie maana hatuko huku kwa kubeba mabox bali kwa taaluma zetu kubwa tu mwanangu.
Mwanangu Precise Pangolin afadhali umemjibu huyo ngongoseke ambaye kama si mtoto wa Kikwete basi anajilengesha kwa mafisadi ili wampe mabaki. Sijui kama kiumbe huyo ni mtanzania. Mijitu mingine imezaliwa na wezi, ikafundishwa wizi na damu zao zimejaa wizi. Hii unaweza kuiona kwenye mawazo ya mijitu kama ngongoseke. Ushindwe na kuangamia wewe ushabikiaye unajisi wa nchi yetu. Akina ngongoseke hawana tofauti na yule mrundi issa ponda .
Mpuuzi ni wewe unayeshabikia Mali zetu kuibiwa. Kutwa Rais ni kudhurura Huku akiteketeza kodi zetu kisa kwenda kupeleka zawadi za picha za maeneo aliyemuuzia sultani mwenzake!!!!
Watu wengine wanafikiria kwa macho, kosa la Jk ni nini kama sio chuki binafsi
majungu kuliko aliyokalia mwenyekiti wa chama cha magaidi. Ameenda Oman kujifunza namna ya kurithisha vyeo kwa watoto ili kukamilisha huo usultani wenu 2015 yatawatokea puani gamba la mwisho wewe
Ikiwa watu watakuwa na mawazo kama yako basi dunia isingekuwa na maana kuishi,yaani wewe unachoamini na wengine wataka waamini?ama kweli ukimhisi jirani yako mwizi basi wewe ndio utaambulia dhambi zote,maana hata kama wapita njia wanapita wewe utahisi ndio anasogelea mlango wako kuvunja,
Naamini huna kazi za kufanya maan aungekuwa nayo usingekaa kuwaza upuuzi huu
Mkuu hivi jk ndiyo katoa au kapewa? Kuna thread ipo humu ikisema jk ndiyo katoa picha hiyo.