Picha: Ziara ya Rais Kikwete nchini Oman

Ikiwa watu watakuwa na mawazo kama yako basi dunia isingekuwa na maana kuishi,yaani wewe unachoamini na wengine wataka waamini?ama kweli ukimhisi jirani yako mwizi basi wewe ndio utaambulia dhambi zote,maana hata kama wapita njia wanapita wewe utahisi ndio anasogelea mlango wako kuvunja,
Naamini huna kazi za kufanya maan aungekuwa nayo usingekaa kuwaza upuuzi huu
Mpuuzi ni wewe unayeshabikia Mali zetu kuibiwa. Kutwa Rais ni kudhurura Huku akiteketeza kodi zetu kisa kwenda kupeleka zawadi za picha za maeneo aliyemuuzia sultani mwenzake!!!!
 
Kuchoma makanisa ni ukafiri wa aina yake. Anayepaswa kulaumiwa hapa ni rais anayewaendekeza hawa wahuni wake waliojificha nyuma ya uislam. Waislam wasikubali kutumiwa na watu wenye hoja fichi hasa akina Ponda Issa Ponda mrundi anayetaka kuiona Tz ikiwa kama kwao Burundi sijui kwa faida ya nani?
wakristo inabidi tuchukue sheria mkononi dhidi ya PONDA maana serikali ni kama inamtuma. halafu hawa usalama wa taifa kazi yao ni nini hasa?? kuwasaidia ccm kuiba kura za chadema tu basi??WAKRISTU KAMWE TUSIRUDIE KUMCHAGUA RAIS MWISLAMU MILELE.hapo ndio heshima itarudi.
 
Mpuuzi ni wewe unayeshabikia Mali zetu kuibiwa. Kutwa Rais ni kudhurura Huku akiteketeza kodi zetu kisa kwenda kupeleka zawadi za picha za maeneo aliyemuuzia sultani mwenzake!!!!

Huna akili wewe ndio maana umekalia majungu tu fanya kazi wanao wale sio kukalia majungu yasiyo na maana
 
nyie nao mmezidi kuwa sensitive

Obsession na wanyama sijui mtaondokana nayo lini

Nchi ina rasilimali kuwa sana nayo ni watu milioni 45 ambao wana akili na wanayo judiciary, executive na legislative na soon watakuwa na katiba mpya lakini bado hamjiamini tuu

JK kapeleka Picha nyie mshaanza kuhamaki. Mbona picha ambayo JK amepewa zawadi hujaitaja?

Hebu waambie kuna nchi ambazo hakuna hata sungura na wamepiga hatua za maana sio sisi kila siku habari moja tu'
Watanzani wana wivu wa kike by mkapa
 
Mwanangu Precise Pangolin afadhali umemjibu huyo ngongoseke ambaye kama si mtoto wa Kikwete basi anajilengesha kwa mafisadi ili wampe mabaki. Sijui kama kiumbe huyo ni mtanzania. Mijitu mingine imezaliwa na wezi, ikafundishwa wizi na damu zao zimejaa wizi. Hii unaweza kuiona kwenye mawazo ya mijitu kama ngongoseke. Ushindwe na kuangamia wewe ushabikiaye unajisi wa nchi yetu. Akina ngongoseke hawana tofauti na yule mrundi issa ponda .
 
Amocha mwanangu jifunze kufikiri. Kwani huyo maige aliteuliwa na kuvumiliwa na nani kama siyo kikwete ambaye ni syndicate moja?
 
Mwanangu Precise Pangolin afadhali umemjibu huyo ngongoseke ambaye kama si mtoto wa Kikwete basi anajilengesha kwa mafisadi ili wampe mabaki. Sijui kama kiumbe huyo ni mtanzania. Mijitu mingine imezaliwa na wezi, ikafundishwa wizi na damu zao zimejaa wizi. Hii unaweza kuiona kwenye mawazo ya mijitu kama ngongoseke. Ushindwe na kuangamia wewe ushabikiaye unajisi wa nchi yetu. Akina ngongoseke hawana tofauti na yule mrundi issa ponda .

Another great thinker' haya wewe mtanzani pyua na uchungu na nchi yako unasubiri nini kwenda leba kujifungua?

Wakati najiunga jf mara kwanza kabla sijala ban ya life nlikuwa nampinga sana jk kwa mambo mengi, lakini nilikuja kugundua mambo mengine mnayakuza humu jf kwa chuki zenu zisizo na maana,watu gani nyie msio sifia hata kitu kimoja mnajua kukosoa tu, hata hatua za maendeleo mnaponda tu kama sio wivu na chuki ni nini?
 
Hiyo chuki yako iliishia wapi kama siyo kufadhiliwa au kuwekwa kinyumba? Hapa hakuna linalokuzwa. Laiti watu kama wewe wangetumia japo akili kidogo msingepata shida mnayopata hadi mnatetea upuuzi. Na utakuta ni kutokana na ujuha kama huu watoto wa maskini wanashabikia watesi wao. Jipeni muda mjifunze kufikiri japo kidogo badala ya kuwa kama nepi za kufulia uchafu wa mafisadi.
 
Ndio nakwambia wewe ni great thinker unaeamini kwa mawazo yako' sasa ujuha wako unataka na wengine wote waamini kupitia mawazo yako pole sana, kwa style hii nchi bado saaana tutasubiri sana hiyo neema'na kama unajidanganya kuna mtu atakuja kuleta maisha ya kufikirika tz basi mpaka mtakufa hayapo hayo maisha, fanyeni kazi wenyewe kwa bidii sio kukalia majungu
 
Ngongoseke hapa kwangu ni saa moja unusu jioni ndo nimetoka mzigoni unataka nini zaidi, Kama kazi ninayo inayonilipa vya kutosha kiasi cha kupata hata ya kuwatumia watanzania wanaonyonywa na mafisadi sasa zaidi unataka nini. silipwi na mafisadi wala watoto wangu hawasomi kwenye shule zilizosuswa na hao wezi zaidi ya kutesa ofisini sasa wataka nini zaidi mwanangu?
 
Safi sana mzee mimi pia nabeba box mzee na hapa niko shift ya usiku nalinda minara ya simu' na hivi sasa ni saa 11 alfajiri karibia nakabidhi lindo' jifunze kusifia panapostahiki na sio kila kitu ukosoe nhi yetu sote
 
Kwani Muislam akiachana na mke si anaruhusiwa kuoa wa pili?

BTW

Hawa Wa Oman ni wafuasi wa sect inayoitwa IBADHI na moja kati ya Imani zao ni kuwa Qur'an SIYO maneno ya Mwenyezi Mungu.

Pumba on motion qur-an sio manenobya mungu wakati wanaifata' halafu pic zako zote unapiga masokoni
 
Back
Top Bottom