Picha: Ziara ya Rais Kikwete nchini Oman

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
0AAE67F5-3411-478E-81A0-EED2DFF176DC.jpeg


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat Oman leo mchana kwa ziara rasmi (State Visit) ya siku tatu nchini Oman.

77518C4E-831B-41CD-AAE4-73DC4BC69A62.jpeg


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo (Picha na Freddy Maro)

download+%282%29.jpg


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman jana jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa kwa heshima yake.

B91184C2-FE22-4A6C-B133-BBF7C8002907.jpeg


Sultani wa Oman,Qaboos bin Said Al Said akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nishani ya juu ya heshima, Taifa la Oman wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake jana jioni katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman.

941A4DC3-5BBD-46D0-808D-F3C952DEF5AE.jpeg


Sultan Qaboos bin Said Al Said akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumtunuku nishani ya juu ya heshima ya Taifa la Oman jana jioni katika kasri ya AL Alam. Jijini Muscat Oman jana jioni .Rais Kikwete aliwasili nchini Oman jana jioni kwa ziara rasmi ya siku nne. Picha na Freddy Maro

UPDATE

Wed, 17 October 2012


MUSCAT - His Majesty Sultan Qaboos gave audience to President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania at Bait Al Baraka, last evening. His Majesty the Sultan exchanged cordial talks with his guest and the two parties discussed bilateral relations between the two friendly countries and the means to enhance them in all fields. A special banquet attended by a number of top officials was held in honour of the guest and his accompanying delegation.

Earlier, a foundation stone for the Embassy of Tanzania in the Sultanate was laid at the Embassies District under the auspices of President Kikwete. The laying down of the foundation stone is a tangible proof for the progress reached by the relations between the countries, affirming that this occasion represents a turning point in the history of the bilateral relations between the two friendly countries.

The Sultanate and Tanzania also signed a number of agreements and memoranda of understanding on co-operation in the field of investment promotion and protection, higher education, exchange of documents and archives and the establishment of Omani-Tanzanian Businessmen Council. The first agreement is related to promotion and protection of investment and provides guarantees for investments in both the countries.

They also signed an MoU for co-operation in the field of higher education. The MoU is related to exchange of visits of academic and research institutions and exchange of research materials, publications, teaching aids, software and participation in workshops on higher education. Another agreement for the establishment of Omani-Tanzanian Businessmen Council was also signed.

The council aims at furthering development of the existing economic and trade ties between businessmen in both countries and promoting mutual investment opportunities, facilitating the proceedings before the businessmen to establish their investments and joint exhibitions and exchange of delegations.
 
Last edited by a moderator:
Dah nchi inauzwa kwa Mara engine tena,huyu jamaa kaenda lini tena huko jama mbona hamkumzuia?
 
Vasco-Dagama, baada ya watangulizi wake kuiuza Ngorongoro nadhani yeye ataiuza Serengeti na maeeneo yenye gesi na mafuta.
 
Sultani anamuonyesha picha Huku akimwambia "unakumbuka mliniuzia hii mbuga kipindi kile na wanyama wake sasa nasikia kuna madini humu mbugani nataka nianze kuyachimba kwa nguvu zote!!!!!!! Halafu nasikia hata wewe umeanzisha usultani Kama Mimi kwa kuwapa vyeo wanao na mkeo ndani ya chama. Vile vile ile kazi niliyokupa 2010 ya kupandikiza udini naona imekolea sasa nataka ijumaa wachome Azania front na st Joseph". Mwisho wa kumnukuu sultani
 
Qaboos: Ebwana ile Zanzibar mnaturudishia lini sasa?
Kikwete: Hampati kitu, kama mnataka kuwinda tutawakatia makonde muue tembo mnavyotaka, ona hawa.
 
Hivi hao ndiyo wale wanaoitaka Zanzibar back?Halafu sijui hiyo zawadi yapicha za tembo,hawa si wale waliuziwa mbuga na wanawabeba hao wanyama?Kama lengo ni kupromote tourism,basi wala haina mantiki kama wanauwezo wa kuwabeba hao wanyama kadri wanavyotaka.
 
Kurugenzi za raisi lazima ziwe zinasema raisi anaenda kufanya nini huko. Sio kusema tu, ziara. Hizi safari nyingine ni upuuzi tu. Kikwete hana akili kabisa
 
Dr (soon to AL HAJJ) Jakaya Mrisho Kikwete AL ABUSAAID.

Je atakuja kututembelea na sisi huku SALALAH?
 
Qaboos: Ebwana ile Zanzibar mnaturudishia lini sasa?
Kikwete: Hampati kitu, kama mnataka kuwinda tutawakatia makonde muue tembo mnavyotaka, ona hawa.

Kweli Oman waache mafuta na neema yote ile waliyonayo kwa ajili ya kile kisiwa cha mijitu mikorofi iso na elimu?

kwanza hebu mswalie mtume akhi...!
 
Wapo wanaodhani tunatangaza utalii huku wengine wakidhani tunahonga wanyama wetu kwa jamaa hawa. Sijui jamaa atapewa kanzu au msuli? Maana jezi keshapewa sana. Kesho msishangae kusikia ndege nyingine ikisafirisha wanyama hai na hakuna atakayeguswa. Wengi walidhani angalau Kikwete angeulizia ni kwanini Falme za Kiarabu zinatuibia wanyama. Je anaogopa kuambiwa kuwa tuliwauzia kwa ufisadi wetu? Nini tafsiri ya picha hii?
 
nyie nao mmezidi kuwa sensitive

Obsession na wanyama sijui mtaondokana nayo lini

Nchi ina rasilimali kuwa sana nayo ni watu milioni 45 ambao wana akili na wanayo judiciary, executive na legislative na soon watakuwa na katiba mpya lakini bado hamjiamini tuu

JK kapeleka Picha nyie mshaanza kuhamaki. Mbona picha ambayo JK amepewa zawadi hujaitaja?
 
Ikiwa watu watakuwa na mawazo kama yako basi dunia isingekuwa na maana kuishi,yaani wewe unachoamini na wengine wataka waamini?ama kweli ukimhisi jirani yako mwizi basi wewe ndio utaambulia dhambi zote,maana hata kama wapita njia wanapita wewe utahisi ndio anasogelea mlango wako kuvunja,
Naamini huna kazi za kufanya maan aungekuwa nayo usingekaa kuwaza upuuzi huu
 
Waliachana... miaka mingi iliyopita

Kwani Muislam akiachana na mke si anaruhusiwa kuoa wa pili?

BTW

Hawa Wa Oman ni wafuasi wa sect inayoitwa IBADHI na moja kati ya Imani zao ni kuwa Qur'an SIYO maneno ya Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom