Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

duh! ila jamaa kajaza watu kwenye ufunguzi! anatisha.
lakini kama chadema ni chama cha wachaga, ccm inaenda kufanya nini kirimanjaro?
 
Nape yuko njiani kujiunga na chadema cos adui yake mkuu mr mvi mtandao wake umeingia nec,nape hana chake ishu ya kuvua gamba alikomalia imemshinda aibuuu myampa ikhonda.
 
Natamani niwachape viboko kila mtu aliyejitokeza hapo, hivi kuna watu bado wapo ccm?? Inashangaza sana!
 
Sunday, October 21, 2012

Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012
Wananchi wa kata ya Nanjara Reha wakimpokea Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye, tayari kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM kwa kiti cha Udiwani.
Wanachama wakongwe wa chama cha mapinduzi wakionyesha kukubaliana na hotuba ya Katibu wa NEC,itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye alipowahutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za Diwani wa Kata ya Nanjara Reha, Rombo ,mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja, Madiwani hawa ni kati ya Madiwani 21 ambao kwa pamoja wataweka nguvu zao kuhakikisha kata ya Nanjara Reha inarudi CCM. PICHA ZOTE NA ADAM MZEE

POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT SUNDAY, OCTOBER 21, 2012

LADIES & GENTLEMEN
FRIENDS & ENEMIES
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA WAS FORMED BY UNIFICATION OF ISLAND OF PEMBA & ZIMBABWE..
THANK U A LOT...:A S tongue:
 
Sunday, October 21, 2012

Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012
Wananchi wa kata ya Nanjara Reha wakimpokea Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye, tayari kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM kwa kiti cha Udiwani.
Wanachama wakongwe wa chama cha mapinduzi wakionyesha kukubaliana na hotuba ya Katibu wa NEC,itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye alipowahutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za Diwani wa Kata ya Nanjara Reha, Rombo ,mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja, Madiwani hawa ni kati ya Madiwani 21 ambao kwa pamoja wataweka nguvu zao kuhakikisha kata ya Nanjara Reha inarudi CCM. PICHA ZOTE NA ADAM MZEE

POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT SUNDAY, OCTOBER 21, 2012

ni aibu kwa kiongozi wa kitaifa kuwa na nyobi ya watu wanaohesabika kama 47 hivi, mtaisoma tanzania mpya ina kwenda kuzaliwa kupitia majivu ya makanisa ya mbagala
 
Kila kona anayoenda nape 'watu kibao'

huko kwetu aisee kama watu wenyewe ndo hao hakuna unyomi wowote acha na wale aliosafiri nao... hii ni hulka yetu usiachie pesa ikupite akili kichwani mwako...
 
Lakini huyu si aliwabeza Wachaga kipindi kile,,,!!!! Alisema CHADEMA ni Cha Wachaga. Sasa Huko anatafuta nini???? Kama si kula matapishinyake!!!
 
Ulizia alawansi hapo utashangaaaaa.............
Ila mwacheni anajenga chama.....lakini sijajua agenda ya vua gamba imeishia wapi vile?..
 
yaani nilikua natafuta hapo picha ya jamaa yangu nikatishe misaada bahati cjaona, yani ukiwaangalia na nape utajua kuna kupe na host wake, wamechooka Nape ananawiri kwa viyoyozi vya Lumumba
 
Adui wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe,ebu ona hapo barabara ni ya vumbi lakini wamekubali kuwa hawastahili barabara ya lami.Chini ya uongozi wa chama toka uhuru.Ujinga ni kitu kibaya sana.

Watu wa Nanjara Reha wameapa kuwa hata Chadema wangeweka jiwe wangeweza kulipigia kura jiwe kuliko mgombea kutoka Chama Cha Magamba,unajua kilichotokea ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2010,wanaNanjara Reha walichagua diwani wa Chadema ambaye alikuwa mfanyabiashara maarufu lakini kuona hivyo serikali na vyombo vyake vya dola,TREi na wengineo wenye dora waliagizwa kumpelekea moto wa msukosuko na usumbufu katika biashara zake ndo jamaa baada ya kuona anafuatwa fuatwa sana akaamua kurudisha kadi ya CDM na kurudi Sisiemu ya mafisadi na wakwepa kodi kama kawaida hata sasa mambo yake safi hakuna anayemfuatafuata. Na hataki siasa tena.
 
!
adui wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe,ebu ona hapo barabara ni ya vumbi lakini wamekubali kuwa hawastahili barabara ya lami.chini ya uongozi wa chama toka uhuru.ujinga ni kitu kibaya sana.
chadema wakiingia wadrarakani wataweka lami barabara zote nchi nzima tena kwa wakati mmoja.ama kweli ya kuambiwa changanya na yako.hebu tujaribuni kuwa wa ungwana tupinge mambo ya msingi tu kuliko kila kitu sisi tunapinga na kulalamika tu.imagine wewe ni baba,una watoto wako ukiw\pikia wali wanakuambia ahh!wali gani hauna hata nyama,ukiwaletea viatu unasikia ahh!unajua soksi hatua lakini hujaleta,wewe utakuwa unajisikia je
 
Back
Top Bottom