Picha za warembo wazuri kutoka Tanzania

Kwetu Ngoreme

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
489
189
View attachment 292996

2.jpg

1 Hamisa Mobeto.JPG




















4 vanessa.JPG

5.jpg

3.jpg

tumblr_mwvr7iabk21t2e1lvo4_500.jpg
 
Sasa mbona wameweka maharage Yao nje??? Tamaduni nyingine bhana, haya ni dada yangu Ndio kaliweka harage nje hivyo na Jamaa analimendea aaaghh shit
 
Yule mmoja pale kati ndo ananyia debe uchina....pole yake akirudi kikongwe tayari tamaa hizi....
 
Tz is blessed I see warembo wako badoo uuuuuuui yaani kule kila siku unaweza ukawa unashinda huko
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Hawajijui kama wanatumiwa kuanikwa.

sichoki kusikitika kila ninaposikia wa tz wenzangu wakijisifia kwa kuwa na rasilimali vitu kama madini,maziwa,ardhi n.k. Lakini tunasahau rasimali kuu kuliko zote yaani watu na muhimu kuliko yote mabinti wazuri na warembo ametakasika m/mungu mbora wa kuumba!najivunia kuwa MTANZANIA.
 
Waweke without make up hapo hakuna urembo maana hata joti dume ila akipodolewa anapendeza kuliko

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Well said Da farkhina, afu wanaona urembo ni npaka mwanamke avae uchi uchi ndio aonekani mrembo khaaaaaaaa!!!!!!

Wavae kistaarabu afu waondolewe hivo makeups tuone huo urembo wao!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Warda waleed ni mrembo hata without nampenda sana huyu dada

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Well said Da farkhina, afu wanaona urembo ni npaka mwanamke avae uchi uchi ndio aonekani mrembo khaaaaaaaa!!!!!!

Wavae kistaarabu afu waondolewe hivo makeups tuone huo urembo wao!!!!!!

umeongea points muhimu shosti wangu mwanamke mzuri ni yule anaejistiri vizuri mwili wake na mapambo ya uzuri wake akamuonesha mume wake tu mtu unavaa top kifua chote nje watu wote wanaona huyu mpenzio unamuonesha nini akajua kama umemtunzia yeye tu?


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom