picha za uhuru zinaongea zenyewe.partII

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890

Askari wakipita mbele ya jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa Rais.

Askari wakipita na kutoa heshima Jukwaa kuu.






http://3.bp.blogspot.com/-gNjxA7F3Br8/TuLWVDpgvFI/AAAAAAAARw8/uDxoUwgoHj8/s1600/09.jpg




















Mbwa akimpiga mtama mwalifu wakati wa lieso ya mbwa waliofundishwa kudhbiti waarifu, wakati wa sherehe hizo.

Rais Jakaya Kikwete, akiingia uwanjani kwa kutuia gari la wazi.
12.jpg


<TBODY>
</TBODY>

MIA
 
Hawa wakomavu hawa makomandoo ni balaa!!!heri wawe wanaenda kusaidia kulinda amani tu maana watafanya mazoezi tuuu hawayatumii popote!!

kweli tz tumechoka kweli kama ndio makomandoo wale wa tz ni upupu m2pu.
Nilipoteza mda wangu buree kuangalia upuzi 2 ule walio onyesha cjaona chochote cha ajabu pale zaid ya kujamba jamba 2.

Hivi ni kipi cha ajabu walicho kifanya mpaka mnawasifu????
 
Walionifurahisha sana ni hao makomandoo wanaovunja tofali na jwtz kwa ujumla ila hao polisi wa kawaida hamna kitu hapo vitambi tu!
 
Mbona Bendera yetu ya Tanganyika haipo? Naitaka Tanganyika yangu. Ni Siku ya Tanganyika sio Tanzania
 
kama kuna mwenye picha moja iliyokuwa ikimuonyesha mama Zhakia Meghji naomba aiweke
 
Hawa wakomavu hawa makomandoo ni balaa!!!heri wawe wanaenda kusaidia kulinda amani tu maana watafanya mazoezi tuuu hawayatumii popote!!

Wakomavu watakuwa hao? Wapumbavu, Kwa ujumla Jeshi hatuna bali tuna wakabaji na waibaji wa Rasilimali. Jeshi letu halina Vifaa vya Kisasa kama ikitokea tukiingia kwenye vita sijui hao wavunja matofali na mbao kama watatumia hao matofali kupigana. Ujinga mtupu na aibu
 
duh jamani hawa wanajeshi wamejitahidi japo ni kidogo ila wamejitahidia jamani..!
 



Hii inanikumbisha wakati wa pass over parade pale Makutupola JKT - OP vyama vingi, hicho ndicho kilinipa raha kukumbuka maisha ya ukuruta na private.
Kwa wale tulikuwa pamoja mzee Malecela ndiyo alifunga gwalide letu kwa niaba ya vikosi vyote Tanzania nzima. Meja General Makame Rashid alikuwa na sisi wiki moja kabla ya li-gwalide, kweli kazi tuliyoifanya that day its almost the same like this.
 



Hii inanikumbisha wakati wa pass over parade pale Makutupola JKT - OP vyama vingi, hicho ndicho kilinipa raha kukumbuka maisha ya ukuruta na private.
Kwa wale tulikuwa pamoja mzee Malecela ndiyo alifunga gwalide letu kwa niaba ya vikosi vyote Tanzania nzima.


jicho kodo.polen
 
Back
Top Bottom