Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Kitu kinachonishangaza ni kutembelea SENATE; Ina MAANA kweli tutaanzisha SENATE na atakuwa SENATOR ?
PICHA ya MWISHO nimeiweka Mara Mbili hicho ki-WIRE in Ear PIECE ? Ninavyojua Harper ni Anglophone... labda pia
Alikuwa anajibu Maswali Mengine kwa kutumia Francophone...
Tumesaini Mkataba wa kulinda All Canadian Investments Tanzania... Kwahiyo hata MIGODI kwahiyo; hawata UZA tena
BARRIC GOLD whatever they call it!!! ??? kwa CHINESE ? Kwasababu aliyeweka ni Mwandishi wa kichina aliyeuliza Swali
Naamini Maliasili na Utajiri wetu uko Salama nikimuona Prof. Muhongo around... Lakini nikiona ZITTO oh naanza kuogopa na
negativity zake...
Mawaziri wakuu wa Canada huwa wanaongea lugha zote mara nyingi. Ilikuwa hivyo John Chretien , yule aliyefuata badaya yake aliyekuwa waziri wa fedha hadi sasa Harper . Maana ukienda kule Quebec kupiga kampeni kuna Block Quebecois (BQ) kama hujui kifaransa kule unaondoka patupu kwenye 25% ya wapiga kura.