Picha za siku ya pili ya ziara Rais Kikwete nchini Canada asaini FIPA kulinda Canadians in TZ

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
2727413_orig.jpg


Rais Kikwete akipanda mti katika bustani ya Jumba la Rideau Hall jijini Ottawa katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Canada huku akishuhudiwa na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson Alhamisi Oktoba 4, 2012


8653951_orig.jpg


Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni mara baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la askari shujaa katika bustani ya Confederation Square jijini Otttawa Alhamisi Octoba 4, 2012

4557054_orig.jpg


Rais Kikwete akisimama wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa mara baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la askari shujaa katika bustani ya Confederation Square jijini Ottawa Alhamisi Octoba 4, 2012. Mbele yake ni baadhi ya veterani wa kijeshi waliohudhuria hafla hiyo.

1595262_orig.jpg


Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni mara baada ya kupokelewa katika Bunge la Seneti la Canada. Kulia ni Spika wa Bunge hilo Mhe Noel Kinsella, anayefuatiwa na Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper na Spika wa Bunge la wawakilishi la Canada (House of Commons), Mhe Andrew Scheer pamoja na viongozi wengine wa bunge hilo Alhamisi Oktoba 4, 2012

9757204_orig.jpg


Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo, ambapo viongozi hayo wawili walifanya mazungumzo Alhamisi Oktoba 4, 2012

6160445_orig.jpg


Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper

8212757_orig.jpg



Rais Kikwete akimpa zawadi ya sanduku la Zanzibar (Zanzibar chest) Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo Alhamisi Oktoba 4, 2012

8083398_orig.jpg



Rais Kikwete akioneshwa na Spika wa Bunge la Seneti la Canada ramani ya dunia na njia za meli, pamoja na kuoneshwa chemba ya mikutano ya Maseneta wa Bunge la Canada Alhamisi Oktoba 4, 2012


1172709_orig.jpg



4186543_orig.jpg


Rais Kikwete akikaribishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge la Wawakilishi la Canada (House of Commons) Mhe Andrew Sheer. Spika huyu, mwenye umri wa miaka 32, ndiye kiongozi kijana kuliko wote katika historia ya nchi hiyo waliopata kuchaguliwa kuongoza bunge hilo.

9683881_orig.jpg


Rais Kikwete na mwenyeji wake Stephen Harper wakitembea kuelekea kwenye chumba cha mkutano kuongea na wanahabari. Zuria jekundu na bendera za Canada za kiongozi wa nchi husika huwekwa sehemu hiyo kwa heshima na wakati wa ziara ya kiongozi wa nchi ya nje aliye katika ziara rasmi nchini humo

1109122_orig.jpg


Rais Kikwete na mwenyeji wake Stephen Harper wakishudia uwekaji sahihi mkataba wa ushirikiano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe na Waziri wa Canada katika Bunge la seneti la nchi hiyo Alhamisi Oktoba 4, 2012

4359444_orig.jpg


Rais Kikwete na mwenyeji wake Stephen Harper wakiongea na wanahabari katika jengo la Bunge la Seneti la nchi hiyo


3952596_orig.jpg


Rais Kikwete, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa pili mbele kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Alex Massinda (mbele kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa makampuni ya Canada baada ya mazungumzo katika jengo la Rideau Hall jijini Ottawa

6136632_orig.jpg


Rais Kikwete akiongea na mabalozi wa nchi za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Canada, na baadaye kupiga nao picha ya pamoja.

5665628_orig.jpg



Rais Kikwete akiwa na Watanzania Richard Katambi Masalu na mkewe Patricia katika jengo la Rideau Hall jijini Ottawa kabla ya kuondoka kuelekea Edmonton

2476_20121004_POD.jpg
Prime Minister Stephen Harper and Jakaya Kikwete, ident of Tanzania, chat in the Library of Parliament during President Kikwete's State Visit to Canada. October 4, 2012. (Photo by Jason Ransom)Prime Minister Stephen Harper and Jakaya Kikwete, President of Tanzania, chat in the Library of Parliament during President Kikwete's State Visit to Canada. October 4, 2012. (Photo by Jason Ransom)




W

350x.jpg

Ii





Tanzanian President Jakaya Kikwete (L) and Canada's Prime Minister Stephen Harper hold a press conference at Parliament Hill in Ottawa, Canada on Oct. 4, 2012. The two leaders signed a Foreign Investment Promotion and Protection Agreement (FIPA) aiming at encouraging investment between the two countries and better protecting with Canadians that do business in Tanzania. (Xinhua/David Kawai)






By Colin Horgan | Oct 5, 2012 8:46 am | 0 Comments


On Thursday, Prime Minister Stephen Harper held a news conference with Tanzanian President Jakaya Kikwete. One reporter asked Harper about the pending CNOOC takeover of Calgary-based Nexen Inc. Earlier Thursday morning, the Opposition New Democrats released a statement saying the government must reject the Nexen takeover, due to "the lack of transparency in the approval process, and an alarming number of unanswered questions."

At the press conference, the prime minister fielded this question:
Prime Minister, I'd like perhaps if I could get you to speak a little bit about Nexen and specifically these two things. The NDP this morning, as you know, said they oppose this particular transaction. You said public opinion's going to factor into the decision. I'm wondering if the NDP's opinion might factor into the decision.
Also, what about the opinion of the United States government? We've heard that there may be officials in the U.S. that are not happy to see a Chinese firm take over here. And, if I could, sir, just perhaps you could comment in French a little bit to that issue.

Prime Minister Stephen Harper replied:
First of all, a couple of things - and I'll get to Nexen in a second. But on general orientation towards investment, I mean obviously we understand, you know, the NDP, as an ideologically socialist party, is opposed to all investments so their position on this is not a surprise. You know, we do have to remember as Canadians that a lot of jobs in this country, a lot of jobs and growth depend on the investments that come to this country. As well, Canada is a significant investor in other parts of the world, as we are in Tanzania. So, you know, our economy depends on the kind of jobs and growth that international investment flows create.

Our position has been to be generally welcoming of foreign investment but, at the same time, as you know, while we have approved many transactions, we have significantly modified some and we have blocked some transactions.

As I've said before, as the minister of industry has said, this particular transaction raises a range of difficult policy questions, difficult and forward-looking issues and those things will all be taken into account under the Act in assessing the net benefit of this investment to this country before we take a decision and obviously we continue to gather information and opinion on that. However, I don't think it's a surprise for me to tell you that the government of Canada will take its own decision irrespective of what the government of the United States does. We don't obviously follow their judgments in these matters.



Canada's Harper Says Cnooc's Nexen Bid Raises Issues

By Theophilos Argitis and Andrew Mayeda - Oct 4, 2012 4:27 PM ET

Canadian Prime Minister Stephen Harper said Beijing-based Cnooc Ltd. (883)'s $15.1 billion bid for Nexen Inc. (NXY) raises tough policy issues his government is considering in its review of the takeover.

"This particular transaction raises a range of difficult policy questions, difficult forward-looking issues, and those things will all be taken into account under the act in assessing the net benefit of this investment," Harper told reporters today in Ottawa.


"We have approved many transactions, we have significantly modified some, and we have blocked some transactions," Harper said at a news conference with Tanzanian President Jakaya Kikwete.


Canada is examining the offer from the Chinese state-owned oil producer under the Investment Canada Act, which requires that foreign takeovers represent a "net benefit" to the country. Canada's 2010 rejection of Melbourne-based BHP Billiton Ltd. (BHP)'s hostile $40 billion bid for Potash Corp. of Saskatchewan Inc. was one of only two acquisitions since 1985 to be blocked under the current law.


Harper said the government is still gathering "information and opinions" for its review of the friendly offer for Calgary- based Nexen.


Extension Possibility

Industry Minister Christian Paradis told reporters separately the government will take as much time as needed to make a decision and an extension of the review period is a possibility.

Under Canadian law, the government can unilaterally extend the original 45-day review period by 30 days, and extend the review further if Cnooc agrees. The government said Aug. 29 it received the application.


The opposition New Democratic Party today called on the government to reject the bid, citing a "lack of transparency" in the approval process.


"A lot of jobs and growth depend on the investments that come into this country," Harper said when asked about the position of the NDP, the biggest opposition party in the country's legislature. "As well, Canada is a significant investor in other parts of the world."


The prime minister said Canada will make its decision regardless of the position taken by the U.S., which is also reviewing the acquisition.


Nexen's oil and gas assets include production platforms in the North Sea, the Gulf of Mexico and in Nigeria, as well as oil-sands reserves at Long Lake, Alberta, where it already produces crude in a joint venture with Cnooc.


To contact the reporters on this story: Theophilos Argitis in Ottawa at targitis@bloomberg.net; Andrew Mayeda in Ottawa at amayeda@bloomberg.net


To contact the editor responsible for this story: Chris Wellisz at cwellisz@bloomberg.net

 

Kitu kinachonishangaza ni kutembelea SENATE; Ina MAANA kweli tutaanzisha SENATE na atakuwa SENATOR ?
PICHA ya MWISHO nimeiweka Mara Mbili hicho ki-WIRE in Ear PIECE ? Ninavyojua Harper ni Anglophone... labda pia
Alikuwa anajibu Maswali Mengine kwa kutumia Francophone...
Tumesaini Mkataba wa kulinda All Canadian Investments Tanzania... Kwahiyo hata MIGODI kwahiyo; hawata UZA tena
BARRIC GOLD whatever they call it!!! ??? kwa CHINESE ? Kwasababu aliyeweka ni Mwandishi wa kichina aliyeuliza Swali
Naamini Maliasili na Utajiri wetu uko Salama nikimuona Prof. Muhongo around... Lakini nikiona ZITTO oh naanza kuogopa na
negativity zake...
 
msichafue majina ya wazungu wa watu hawana ujinga wa kuitana mheshimiwa....ni mr, miss au mrs kwa kwenda mbele si ya mheshimiwa nape, sijui chemba, mheshimiwa kamuhanda au wale kina mheshimiwa mgambo mkuu wa kijiji
 
Hivyo vitabu au makabrasha anayosaini ameyasoma mpaka mwisho na kuyaelewa au anajimwagilila tu?Isije ikawa Mambo ya Chief gani yule..................................:A S embarassed:
 
Hivi Huko kote anakopuyanga uwaanajifunza nini?na akirudi nyumbani atamani hata kufanya na sisi tufanane nao?:nerd:
 


Tumesaini Mkataba wa kulinda All Canadian Investments Tanzania... Kwahiyo hata MIGODI kwahiyo; hawata UZA tena
BARRIC GOLD whatever they call it!!! ??? kwa CHINESE ? Kwasababu aliyeweka ni Mwandishi wa kichina aliyeuliza Swali
Naamini Maliasili na Utajiri wetu uko Salama nikimuona Prof. Muhongo around... Lakini nikiona ZITTO oh naanza kuogopa na
negativity zake...

Hapo kwenye red; kuna mtu anaweza kutuelezea in great details ni kitu gani hasa rais wetu amekuwa 'summoned' kwenda ku-sign? And what will happened if tutakiuka mkataba, kuna adhabu gani imewekwa kwenye hicho alicho-sign rais wetu? Pia kuna uhusiano wowote kati ya kilicho kuwa signed na kauli ya 'awali' ya Prof Muhongo kuhusu kupitia mikataba upya?
 
Kwa hiyo madhumuni ya safari au makaribisho ilikuwa ni kusaini mkataba wa kulinda makampuni yanayotunyonya ya Canada?
 
NIMEWEKA Maswali na Majibu na Waandishi wa HABARi lakini sikupata ya KIKWETE; UKINANGALIA ya HARPER
Anasema USA hawataki GOLD COMPANIES waziuze kwa WACHINA... KWAHIYO HAONA NDIO MAANA KIKWETE KASAINI
HUO MKATABA MPYA WA KULINDA CANADIAN INVESTMENTS...
 
KIKWETE NAMFANNAISHA NA SHAKA ZULU, SHAKA ZULU aliuza Nchi yake kwa WAZUNGU kisa tu vitu vya Anasa
 
Hapo kwenye red; kuna mtu anaweza kutuelezea in great details ni kitu gani hasa rais wetu amekuwa 'summoned' kwenda ku-sign? And what will happened if tutakiuka mkataba, kuna adhabu gani imewekwa kwenye hicho alicho-sign rais wetu? Pia kuna uhusiano wowote kati ya kilicho kuwa signed na kauli ya 'awali' ya Prof Muhongo kuhusu kupitia mikataba upya?

Soma nimeweka Maswali na Majibu waliyomwulia Prime Minister Harper... na kasema point blank USA haitaki CHINA
ichukue hayo MACHIMBO itakuwa powerful kwenye world Market...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
kwa nini alienda bila mke? naona kuna dada wa kizungu kaamua kukaimu nafasi! jk naye kwa matukio!
 
Na hakitoka huko Hakirudi anatulia kidogo Kiguuuuuu na Njiaa anakwenda zake Oman!stay tune :poa
 
Hapo kwenye red; kuna mtu anaweza kutuelezea in great details ni kitu gani hasa rais wetu amekuwa 'summoned' kwenda ku-sign? And what will happened if tutakiuka mkataba, kuna adhabu gani imewekwa kwenye hicho alicho-sign rais wetu? Pia kuna uhusiano wowote kati ya kilicho kuwa signed na kauli ya 'awali' ya Prof Muhongo kuhusu kupitia mikataba upya?
Mhongo kama jina lake lilivyo, si mkweli. Kauli za kurudia mikataba ni kwa matumizi ya ndani, yaaani kukulaza wewe na mimi madongo kuporomoka. Wote hawa wanapofika kwa waume huko hawawezi hata kufungua kinywa. Huo Uprofesa ni wa DSM tu. Nawajua sana hawa nimewaona sana hawa huku majuu. Yaelekea wazi mkulu na Mawaziri wake wamekuwa 'summoned' kwenda kutilishwa saini kutokana na 'kupayuka' kwa muhongo. Sahau kurejea mikataba!
 
Soma nimeweka Maswali na Majibu waliyomwulia Prime Minister Harper... na kasema point blank USA haitaki CHINA
ichukue hayo MACHIMBO itakuwa powerful kwenye world Market...

Nashukuru, nilliona lakini nilimaanisha 'fine print' zinasemaje? Naamini siko peke yangu kuona kama Tanzania inageuka battle ground kati ya West na China! Tumejiandaaje?
 
Hivyo vitabu au makabrasha anayosaini ameyasoma mpaka mwisho na kuyaelewa au anajimwagilila tu?Isije ikawa Mambo ya Chief gani yule..................................:A S embarassed:

Kaambiwa kwa mdomo kiichoandikwa. Then akaombwa asaini,akaanguka wino !!!
 
Back
Top Bottom