picha za sherehe za mapinduzi harali ya zanzibar

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa jukwaani wakati ukipigwa wimbo maalum wa Taifa wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua gwaride maalum wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa,

Kutoka (kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Asha Bilal,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar.
04am.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Zakhia Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda

<TBODY>
</TBODY>
http://2.bp.blogspot.com/-ebqNg9YVqis/Tw7lf6n7itI/AAAAAAAASjU/_TCiFuA9QJI/s1600/04am.jpg

Baadhi ya waendesha Pikipiki wanawake wakpita mbele ya Jukwaa Kuu.

Vijana wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Jukwaa Kuu.

Vijana wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Jukwaa Kuu.

Kikosi cha Polisi wa kike wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.

Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.

Kikosi cha kutuliza ghasia FFU, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka na kutoa heshima kwa Mgeni rasmi.

Kikosi cha Wanajeshi waenda kwa miguu, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni wa rasmi.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe hizo.mia
http://2.bp.blogspot.com/-ebqNg9YVqis/Tw7lf6n7itI/AAAAAAAASjU/_TCiFuA9QJI/s1600/04am.jpg
 
mapinduzi halali ndio yakoje na mapinduzi batili yakoje? Angalizo mtu asiqoute hii habari yote jamani please
 
ukiangalia tu wanafiki, wasiojua kwa nini wako hapo pamoja na wasio na mapenzi mema unawajua bila hata kuuliza.
Mungu wabariki watz, matatizo yamewaelemea!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa,

Kutoka (kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Asha Bilal,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe hizo.mia

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom