Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

Amyner

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
2,397
877
Wana jF..
Naamini weekend inakwenda vizuri..
Kama tunavyofahamu fika binadamu tumeumbwa na wivu, hisia za kutojiamini nyakati zingine, wasiwasi wa mapenzi, hasa iwapo accidentaly au purposely ukakutana na picha za mpenzi wa zamani wa mwenzi ulienae hivi sasa..

Mi nina swali ningependa kuwauliza, hivi picha za wapenzi wenu wa zamani huwa mnazitunza baada ya kutengana? Mnazichoma moto? mnawarudishia? Au mnazihifadhi kwa njia gani ili isije kuleta mfarakano na mpenzi mpya? Na kama ukakutana nazo utachukua hatua gani?
 
Wkend iko poa

Hizo una zi destroy kimya kimya coz kuzirudisha nayo rude, kwanza mimi sikuwa na utaratibu wa ku keep picha maana walikuwa wakiziacha wakija wanakuta hazipo pale walipoziweka mwisho wanazibeba.
 
naona we hauna ule utamaduni walozoea wengi mtu anaweka frame ya penzi wake chumbani, sitting room, chooni na kila mahala..
 
Amyner,

Huo utaratibu wa ku keep souveir hizi nyingine mmmmmh hapana aisee.

Nina picha za ndugu jamaa na marafiki.
 
Unazichoma moto kabisa otherwise kama una mpango wowote naye
Wana jF..
Naamini weekend inakwenda vizuri..
Kama tunavyofahamu fika binadamu tumeumbwa na wivu, hisia za kutojiamini nyakati zingine, wasiwasi wa mapenzi, hasa iwapo accidentaly au purposely ukakutana na picha za mpenzi wa zamani wa mwenzi ulienae hivi sasa..

Mi nina swali ningependa kuwauliza, hivi picha za wapenzi wenu wa zamani huwa mnazitunza baada ya kutengana? Mnazichoma moto? mnawarudishia? Au mnazihifadhi kwa njia gani ili isije kuleta mfarakano na mpenzi mpya? Na kama ukakutana nazo utachukua hatua gani?
 
mpenzi wa kwanza zilitunzwa na kufichwa pazuri na mahala safe.
mpenzi wa pili zilipakiwa kwenye kibox pamoja na vi kadi, tedy bear, artificial flowers vikatumwa kwake.
mpenzi wa tatu na kuendelea hata picha naona hakuna haja ya kuombana zinakuwepo tu zile tulizopiga pamoja.
 
nina picha za graduation npo na kampenz kangu ka zaman n nying kwel tuliachana nimeoa mwingne sasa tatizo nikidestroy ni ukumbusho wng kwn sina mpango wa kuongeza kadigirii kengne nikiacha namkwaza mke imebid niwe kauzu tu niweke kwnye album yake special.
 
ila hizo picha ukiziangalia unapata ukumbusho wa graduation pekee.....au na mengineyo???
 
mpenzi wa kwanza zilitunzwa na kufichwa pazuri na mahala safe.
mpenzi wa pili zilipakiwa kwenye kibox pamoja na vi kadi, tedy bear, artificial flowers vikatumwa kwake.
mpenzi wa tatu na kuendelea hata picha naona hakuna haja ya kuombana zinakuwepo tu zile tulizopiga pamoja.

nimeipenda hiyo system yako ya kuziweka kwenye ka special box tena ungeongeza na kufuli...
 
ila hizo picha ukiziangalia unapata ukumbusho wa graduation pekee.....au na mengineyo???

Vyote si unajua binadamu haturidhiki mwezi naweza pewa kila kitu na sikumbuki kitu ila siku nikipitia tu ka album namkumbuka tena
 
Bora kuzichana au kuchoma, unaweza ukawa unaumia moyo unapoziangalia hasa iwapo atakuwa na mazuri mengi kuzidi uliyenaye.
 
Juzi nilitaka kuzituma kwa mpenzi wa zamani wife akashauri si vizuri hivyo nimeziweka tu kwani yeye nilimpa akachome moto anaona huruma.......
hivyo naendelea kuziangalia.....
Ila nimeona yake na mpenzi wa zamani nataka kuiba na kuichoma moto maana roho inauma
 
tena hasa hasa kama wewe ndio ulisababisha muachane halafu sasa hivi mwenzio kaukata kanawiri kumpata huwezi una baki kula kwa macho na manung'uniko...
 
Juzi nilitaka kuzituma kwa mpenzi wa zamani wife akashauri si vizuri hivyo nimeziweka tu kwani yeye nilimpa akachome moto anaona huruma.......
hivyo naendelea kuziangalia.....
Ila nimeona yake na mpenzi wa zamani nataka kuiba na kuichoma moto maana roho inauma

duuh nakuelewa ndugu yangu inataka moyo kweli maana unaanza ku imagine mambo mengi ukiona picha ya mtu mwenyewe halisi bora kutomjua kabisa....
 
Tena umenikumbusha ngoja nikaicheki sasa hizi kabla wife hajarudi kutoka kwenye mizunguko yake
 
Back
Top Bottom