Picha za mkutano wa Dr Slaa - Rombo

baadae moderm yangu, ikiwa na speed zaidi, nitaziweka nyingi zaidi, coz sasa ivi inachukua karibu ya dk 30, kuattach picha moja.

wadau, picha zimeshindikana kuziattach, kutokana tarakea, hakuna huduma ya internet, natumia , moderm ambayo haina speed, ila TBC wameonyesha katika tahari ya habari ya saa 2, usiku.
 
Wachambuzi: Naomba msaada mwamnko wa Upinzani wakati wa Mrema (1995) na sas Dr. Slaa (2010), upi uko juu zaidi?
 
Ak-47 acha kuchakachua lugha, ni miwani na sio mawani. Rekebisha tafadhali. Chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ahaaa ndugu zetu wa kaskazini hawataki mchezo Mkwere ataanguka vibaya huko
 
Tunashukuru kwa picha. Ni tumaini letu kwamba baadaye itawezekana kuziweka hizo picha zionekane kwa urahisi, kama zilivyoonekana picha za Arusha.

Tunaomba HOTUBA ya Dr. Slaa huko Rombo vile vile. Watanzania wengi tuna kiu ya kumsikiliza Dr. Slaa wakati huu. Tunategemea ndiye mtu wa kutupeleka kwenye AWAMU YA PILI YA UHURU wetu. AWAMU YA KWANZA ilikuwa 1961 - 2010. TANU na CCM ndio vyama vilivyoongoza nchi wakati wa awamu ya kwanza. UKOLONI MAMBOLEO uliigubika sana awamu ya kwanza. Inabidi kuanza miaka 50 mingine (AWAMU YA PILI) na viongozi wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom