Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

kikwete 34.JPG View attachment 62231
 
8E9U1286.JPG
ex3.jpg
JK-and-Zuma.jpg Hapa kama vile anasema njia yako ya kuuwa raia nimeipenda sana nimeanza kuitumia lakini naona itaniletea shida baadae
 
Ngoja nifanye mazoezi mambo yakiharibika niweze kukimbia vizuri.......
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1346676916.370625.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1346676916.370625.jpg
    64.7 KB · Views: 185
Uhasidi tu umewajaa.

Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.

Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?

hivi akili zipo apo kichwani
 
Profesa-J-Mzee-Yusuf-na-JK-Oct-6-2012.png
Chezea kikwete akiwa anafanya kazi aliyotumwana na watanzania....Maisha boa yamewezekana hajawezekana...Ngoja atumbue NSSF za walala hoi kwanza mpaka mkiamka.....
 
Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?

Suit mpya na ilikuwa haijapatikana sehemu ya kutoka nayo.......KIPYA HAKINYEMI jamani
 
RAY-C-Kikwete.jpg
Kikwete watanzania wanajua una orodha ya wauza madawa wote chukua hautua na siyo kujitafutia umarufu wa kisanisani huku ukiendelea kuwafumbia macho wanaolingambiza taifa leo umemsaidia Ray C je unajua watanzania wangapi wanakufu kwa kukosa 1000..je watanzania waelewe kuwa kuanzia sasa unasaidia watumia madawa waje Ikulu...
 
Back
Top Bottom