Picha za Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo

[h=3].[/h] [h=3][/h]


Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: MAJERUHI WA MELI ILIOZAMA WAENDELEA VIZURI HOSPITALI.
 
[h=3][/h] [h=3][/h]

Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana zikitambuliwa na Ndugu zao na kuruhusiwa Kuzichukuwa kwa ajili ya Kufanya taratibu za mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar jana.
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana zikitambuliwa na Ndugu zao na kuruhusiwa Kuzichukuwa kwa ajili ya Kufanya taratibu za mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.

KWA HABRI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
409753126.JPG


Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO, ZANZIBAR

--

Jeshi la Polisi nchini, limetangaza orodha ya majina ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Skagit, iliyotokea juzi katika eneo la Chumbe Kisiwani Zanzibar.

Licha ya kutaja majina hayo, idadi ya miili ambayo hadi jana imepatikana kutokana na kazi kubwa ya uokoaji inayofanywa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama, imefikia watu 63. Kati ya watu hao, waliopatikana na idadi kwenye mabano ni pamoja na wanawake (41), wanaume (9) na watoto (12), ambapo kati yao wakiume ni (5) na wa kike (7).

Msemaji wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Muhina, alitaja baadhi ya majina ya marehemu waliotambuliwa kuwa ni:

  1. Mwanahamisi Mshauri Maneno (42, Kibanda Maiti, Zanzibar)
  2. Maua Ramadhan Feruzi (29, Mwembeladu)
  3. Khadija Omari Ally (58), Kilimahewa)
  4. Khadija Omar Ali (26)

kwa habari kamili bofya hapa GUMZO LA JIJI
 
Back
Top Bottom