Picha za Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo

Ni msiba tena msiba mkubwa .jamani hivi mpaka lini vifo hivi ? serikali mko wapi? tena meli intoka barazani pale jk anapopigia mswaki lkn ndo hivo tena utadhan labda safari ilianzia ununio .kumbe ktkt ya jijiji eeh! maulana okoa kizazi ondoa ccm madarakani ikibidi wafilie mbali mashetani sana viongozi hawa
 
Tanzania bwana kwakufanya kazi kwa mtindo wa feedback yaani unyeshewe na mvua ndio ukumbuke mwamvuli
 
sumatra iliishtukia na ikakataa kuisajili. Ikaenda kusajiliwa Zanzibar. Sumatra hapa haihusiki na lawama yoyote. huyo aliyeisajili Zanzibar ndio aulizwe alitumia vigezo na viwango gani? TBS mpo? au nanyi hamuhusiki Zenj?
 
Mungu tunawaombea wote waliohusika na hilo janga kwa namna moja au nyingine uwape nguvu na uwabariki katika kipindi hiki kigumu
 
Mimi hata sielewi; hivi utafika wakati kweli tuwe serious na maisha ya watu? Ajali za meli, mabasi, mabomu, uuaji wa UWT, nk, lakini hakuna anayejali?!
 
More than 100 missing after Zanzibar ferry sinks

Rescue workers fought rough seas on Thursday to search for more than 100 people missing after an overcrowded ferry sank near the Indian Ocean archipelago of Zanzibar, but hopes of finding survivors were slim.

At least 38 people, including an American citizen, were confirmed dead and 145 were rescued after the MV Skagit/Kalama passenger boat capsized on Wednesday around midday near Chumbe island, west of Zanzibar.

Zaidi hapa More than 100 missing after Zanzibar ferry sinks | Top News | Reuters
 
Inatia uchungu, inasikitisha na inauma sana!. Poleni wote mlopoteza ndugu zenu, majeruhi wote tunawaombea mpate pona haraka na wale wote walopoteza maisha tunawaombea Mungu azilaze roho zao pema peponi. Amin!
 
Yaani Sumatra walikataa kusajili hili debe la meli kwa kujua kuwa mbovu, wakaenda heaven of shit Zanzibar kuisajili? Wazanzibari tangu lini wakapata viwango kama si kutaka kushindana na Bara tu, Bora serikali moja Tanzania yote
 
Walionusurika wanahitaji pschological help. Kuna mtu akiona maji tu anawehuka. Kwa mtazmo wangu watu hawa na pia familia zilizopoteza wapendwa wao wapewe msaada wa afya ya akili.
 
Back
Top Bottom