Picha za kukumbusha machungu ya watanzania mwaka huu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
228670_10150186852421156_687191155_7624609_4311415_n.jpg
 
wapi hapo mkuu ni nyamongoo au?
YES HII NI NYAMONGO NA HILI NI MOJA YA JENEZA LILILOHIFADHI MWILI WA MAREHEMU ALIYEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI NA ASKARI WA CCM, JENEZA HILI LILITUPWA BARARANI NA ASKARI. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI!i
 
Hakika unyama huu hatuta usahau kamwe,walaaniwe waliofanya hiki kitendo cha kishetani.
 
Kila nikiitazama picha hii, matukio yake na reaction ya serikali na CCm nasikia uchungu usio kifani. Pesa, vyeo huaribu utu wa mtu kiasi hiki kupitiliza hata mnyama mwenye kufuata silika tu.
 
Kila nikiitazama picha hii, matukio yake na reaction ya serikali na CCm nasikia uchungu usio kifani. Pesa, vyeo huaribu utu wa mtu kiasi hiki kupitiliza hata mnyama mwenye kufuata silika tu.
hapo kwenye nyekundu vipi?????????

CCM imehusika vipi??
 
hapo kwenye nyekundu vipi?????????

CCM imehusika vipi??

Ndio! Serikali ya CCM na Chama cha CCM kwa vile wahusika ni wote na waliotelekeza ni kutoka kwa maagizo ya viongozi walio madarakani kupitia chama cha CCM.
 
Back
Top Bottom