Picha za kongamano la vijana lililoitishwa na CHADEMA

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
19.jpg


18.jpg


17.jpg


16.jpg


15.jpg


14.jpg


13.jpg


12.jpg


11.jpg


10.jpg

9.jpg


8.jpg


4.jpg


3.jpg


2.jpg


1.jpg


Source: Michuzi jr
 
Nani Mkweli sasa? Wanaofanya mikutano Maofisi ya Serikali yetu au Wanao kuja hadharani kujadili Ukweli wa Matatizo tunayo yakabiri? Tuendelee kuhamasishana tubadiri Taifa letu....Mapinduzi bado wiki 15....confidential....
 
Asante mkuu, nimeona vijana wa kike siyo wengi kaau bado hawajahamasika. Wanawake wana nafasi nzuri sana ya kuwa viongozi kwenye nchi yetu maana watu wanawamini zaidi kuliko wanaume kwa sasa. Kutokana na ufisadi ambao wanaume wameufanya so far na hisi wanawake ndo wanaweza kuja kuongoza nchi yetu. Pia tuwe macho na strategy za ccm ambapo huenda wakatumia wanawake 2015 kama walivyofanya usipika. Naangalia sana ASHS MIGILO WANAWEZA KUMTUMIA 2015 HIVYO LAZIMA CHADEMA IIMALIKE UPANDE WA WANAWAKE PIA HASA WASOMI.
 
Naam makamanda tupo nyuma yenu wakuu...si mbali tutaliona jua baada ya kukaliwa a wakoloni weusi miaka nenda rudi
 
WATANZANIA NI WANGAPI HADI SASA (2005 - 2010) WENYE MAISHA BORA NA HADI HIVI SASA (2010 -2015) WAO WANAJIBIDISHA TU KUTAFUTA KIADA CHAKE NCHINI????

Watanzania wenzangu tuambizane ukweli hapa na tusifichane hali halisi ndani ya mifuko yetu. Mpaka hivi sasa wengi wetu HATUZUNGUMZII TENAUCHUMI wa maisha yetuTanzania bali hali halisi ni UCHUMA wa maisha yetu nchini. Je, wewe????

Baya zaidi, ajabu ninayoiona nkule bado CCM na JOPO LA MAFISADI wangependa Watanzania wote tukaseme tu YOTE NI MAISHA na kukimbilia kitanndani, baada kucheka na Masanja TBC, huku CC ya CCM wakibariki Dowans walimpwe.

Huku waliosbobea katika uchumi nchini wanatutahadharisha KIAMA DOWANS WAKILIPWA na kuongeza kuongeza kwamba tunachoona mpaka sasa kwa gharama ya maisha eti hapo bado ni mwanzo tu wa mapinduzi ya sinema nzima wa ahadi ya Maisha BORA ZAIDI kwa kila Mtanzania; na katika kutimiza hilo Mhe Kikwete na CCM wametuhakikishia dhamira zao za kutufikisha huko kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

Sasa Mtu endapo utakuwa hauoni MAISHA BORA ZAIDI basi wala usisubiri kuambiwa na mtu, Wenye kuona UGUMU ZAIDI KWA KILA NAFSI YAKE huyu si Mtanzania tena maana WATANZANIA WOTE waliopata ahadi hizo tangu siku nyingi tu (2005 - 2010) maisha yao ni bora kabisa hivi sasa (2010 - 2015) wanacho kitafu kiukweli ni Uziada wa UBORA HUO WA MAISHA.
HOJA YANGU:

Kwa mantki hiyo Mhe Kikwete na CCM, watu wa Takwimu nchini acheni kutu fikicha ukweli, Watanzania ni wastani wa watu wangapi nchini maana hili la watu milioni 46 wala sihitaji tafsiri ya mtaalamu kubani kwamba si kweli.
 
Asanteni sana wadau sasa naweza kulalamika kwa furaha. Muda si mrefu ukombozi wa TZ utapatikana.
 
Labda huyo Michuzi Jr, lakini Michuzi Senior sidhani kama atapoteza muda wake kuona nini cha mafanikio ndani ya chadema
 
Tunashukuru kwa kuendeleza mapambano kama njia ya kuwakomboa watanzania, Lakini tunaomba hayo makongamano yasiishie Dar es salaam peke yake tunahitaji yafike mikoani panapo uwezo wilayani nako yakawashe moto.
 
michuzi hata yeye mgao wa umeme unampiga jamani... kwa nini asiweke? wew na aili yako timani kutoka rohoni huwezi kumuita mtu ni rais anayeshindwa kutoa umeme kwenye asilimia 14 ya population yake
 
Chadema wanatutia moyo, JK alisema vyama vya upinzani ni vya msimu wa uchaguzi tu! sasa cha kushangaza inakuwaje wakati mwingine vyombo vya dola vinazuia maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani wakati hiyo ni sehemu ya malengo na majukumu ya chama cha siasa, Hongera sana Chadema kwa kuendelea kushukamana kuongelea maswala yanayomgusa mtanzania
 
Back
Top Bottom