Picha za JK, mama Salma na mjukuu wao shambani kwao msoga.

Kapo, I am a happily married woman. I believe everyone of us is praying that he/she should see grand - grand children. Anyway if not for your case, it is my WISH to GOD.
Be blessed.
Queen Esther
 
Raba pouwa sana ni Adidas hizo,very stylistic...Tatizo pamba za shambani JK hazijui.Washauri wake wamemsetup just to promote him,kumpakazia ukulima ili apate sympathy ya wananchi ambao wengi ni wakulima,lakini inaelekea washauri washamba wasiojuwa pamba za kazi na shamba amabzo wakulima wa ukweli wanaweza kurelate nazo...
 
Mbona hawajatuonyesha maoteli yake na majumba yake na petrol station zao na malori ya riz moja?
 
sijui bi mdogo wa iringa anasemaje huku iringa jamaa sio kama rais tu ila pia kama shemeji poa sana jk napenda unavyo itawanya ccm nakukubali sana! Kwa hili piga hela ukimaliza semister za uongozi jiendee uarabuni maana wewe na mkapa hamtapona wakupona ni mwinyi ndo anamikono misafi
 
Nyie huyo JK muoneni hivyo hivyo, akili yake yote haiko shambani,hapo anawaza m4c, migomo,maandamano,sijui Dr.Ulimboka ataongea nini,mabilioni ya uswisi,uchaguzi wa Igunga nadhani kidogo na ule msiba wa Ethiopia.

Baba wa taifa alisema Ikulu ni mzigo.Siku akistaafu ataongea mengi.

Anawaza M4C? Ukimuuliza hiyo ndio nini hataweza kukuambia... hana MUDA HUO; MAANDAMANO GANI? Wewe Tangu lini Ameongelea chochote kuhusu

Matatizo ya Watanzania? YA MALAWI yeye anaongelea DADA; na Rais wa Malawi yuko serious... Haujui IGUNGA itamsaidia nini ILA USWISI ndio anapopapenda

PAKICHAFUKA BONGO ndio raha yake huyo na NDEGE YAKE... HAJUI WAZUNGU watamgeuka kama KAGAME...
 
hahaaaa.yaani msinichoshe wala nisiwachoshe kwa kifupi tusichoshane..either hizo raba za JK ni kubwa kuliko mguu au JK ana kilema kwenye mguu wa kulia..

Huu ukulima wa show off unashida sana yaan kavuna 10 bags mbwembwe nyingi wakati pipoz wa Rukwa walivuna na kujaza magala na wakapigwa ban kuuza zambia.
 
Mbona huo mlango wa ghala umepinda? No wonder hawezi kusimamia ubora wa miradi ya serikali
 
Kwanini hawatuonyeshi picha za watoto wa Kikwete wanaolingana na mjukuu wake Aziza? Kumbe jamaa ni kazee hivi. Kana wajukuu wakubwa lakini bado kanazaa! Mwe hakika hiki nacho kituko!

Hahaaaaaaa Yule alozaliwa na padre ni mjukuu au kitukuu !?
 
hahaaaa.yaani msinichoshe wala nisiwachoshe kwa kifupi tusichoshane..either hizo raba za JK ni kubwa kuliko mguu au JK ana kilema kwenye mguu wa kulia..

Hehehe! Hana kilema banaa! Jeans imempwaya. Anaanza kuzeeka huyu nae!
 
Hivyo viatu vinaitwa Adidas Samba ambazo kama original ni $49.99 to $64.99. Lakini alivyovaa Mh JK ni feki labda ni zawadi aliyopewa na William Marecela toka Manhattan, New York ambavyo ni $25.00. Kuhusu dressing code, jamaa kavurunda ile mbaya, Viatu oversize and black, Suruali look like pajama na Shirt ni just becoz (kifupi). Jamaa akivaa Suti huwa anapangilia mpaka wazungu wakamdodosa kujua undani wake wa kuhongwa.
Over all JK, kwa hili vazi ni zero
 
JK anathamini familia yake sasa hivi analea vijukuu, hivi junior ni mjukuu au mtoto kwa Dr Slaa?
 
Back
Top Bottom