Picha za hali ilivyo USA baada ya matokeo kuanza kutangazwa.

Chadema ilishinda Shinyanga hivo hivo ila kesho yake matokeo yalibadilishwa.
Komaeni aiseee
 
Chadema ilishinda Shinyanga hivo hivo ila kesho yake matokeo yalibadilishwa.
Komaeni aiseee

Nipo nasikiliza Sunrise Radio Lema yupo ndani anasimamia zoezi hili kwa ukaribu sana na mpaka saizi sijui Sioi kama nae yupo ndani au ni wapambe wake tu wanacheki hali hiyo.
 
Back
Top Bottom