Picha za Face Book

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Hivi ni marafiki zangu tu au?

1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje
4. the list goes on.....

what massage are relly these photo sending out?

if what am thinking is correct then put your contacts too.

jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!
 
Reminds me of a say "Show me your friends and i would tell who you are!"

hebu mjibu BT swali lake kwanza dear vivian..
 
...mm sielewi kwa nini ishu za FB kujadiliwa humu JF...i thot kule nao wana kautaratibu kao...
kwenye mada:nilitaka kusema kama Amyner....hahahahahhahhaaaa..nakumbuka mbali nikisema ivyo.
 
Vivy ! Si ujibu basi huto tuswali Mbuzi?
Unajua starehe ya genye ni kugenyeshana , au hamu ni kuhamushana.
 
si uwaambie hao mashoga zako, sasa unakuja kuwananga hapa?

Lakini kuna usemi huu
'Mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe'
 
Asante!
Mie sikubali watu nisiowajua in real life kwenye fb, mostly! Ila hata nnaowajua naangalia na friends wao pia. Kuna watu wana friends wana picha za nyeti kabisaa! Ngoja siku waku-tag Vivian ndo utatia akili.
Reminds me of a say "Show me your friends and i would tell who you are!"

hebu mjibu BT swali lake kwanza dear vivian..
 
Hivi ni marafiki zangu tu au?
1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje
4. the list goes on.....
what massage are relly these photo sending out?
if what am thinking is correct then put your contacts too.
jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!
unatumia id gani huko uso kitabu?
 
..mimi nafikiri msichana ni kama UA..na linapochanua ndo linapendeza. Kwhyo hao rafiki zako wanachanua maua yao..
 
Reminds me of a say "Show me your friends and i would tell who you are!"

hebu mjibu BT swali lake kwanza dear vivian..

This doesnt apply to me my Dear. I live by my standards, not by friends influence.

For your information, there is a difference between face book ''friends'' and friends.
 
Asante!
Mie sikubali watu nisiowajua in real life kwenye fb, mostly! Ila hata nnaowajua naangalia na friends wao pia. Kuna watu wana friends wana picha za nyeti kabisaa! Ngoja siku waku-tag Vivian ndo utatia akili.

Let that day not come my God
 
Siku hizi haiitwi tena Facebook, inautwa Uchibook

Oooh ! My God, Buji is't realy !
Probably !
Nilipoona neno "Uchi" nikaziba uso na viganja vyangu !
Nikadhani hilo neno ndiyo Uchi wenyewe !
Kumbe neno !
U m e n i s h t u a a i s e y !
Kuna mdada wa my Rafiki nilikuta picha yake kwenye profile ya Fcbk , ile photo iliyokua juu haikua na kwere , nikabofya pale kwenye kuangalia za nyuma eeebwanae !
Hiyo mipaja nnjennje niliyokutana nayo ya sister wetu !
Sikurudia tena bofyabofya !
 
...mm sielewi kwa nini ishu za FB kujadiliwa humu JF...i thot kule nao wana kautaratibu kao...
kwenye mada:nilitaka kusema kama Amyner....hahahahahhahhaaaa..nakumbuka mbali nikisema ivyo.

Kwa sababu JF members ni members wa FB pia.
 
Back
Top Bottom