Picha za chadema kwenye mkutano wa kuwashukuru wananchi.

A2 P

Senior Member
Mar 22, 2012
184
43
Lema kuwasili Leganga.JPG Ndesamburo kuhutubia.JPG Nassari kuwasili Leganga.JPG Mbowe na Peoples Power 2.JPG Sugu na mistari.JPG View attachment 50896
 
hongera sana kwa picha mkuu.
hakika Magamba wamefikia hitimisho let them gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Kweli inatupa moyo watanzania na kutuonesha wapi tunaelekea,ukombozi ndio chachu ya maendeleo.
 
Ile nyomi ya jana ilifunika zote.
Niliona mpaka mijamaa ya ccm ikishangilia.
 
CCM wakiona hivi wanachanganyikiwa wao wanawasomba na malori lakini hawajazi hivi
 
Kwa sisi tuliokuwepo, hatuwezi hata kuelezea furaha ilivyokuwa imetanda huko Leganga jana! Ushìndi wa Nasari ni historia atakayodumu kwa miaka mingi sana!
 
Sijawahi kuona mwitikio huu,kweli tuko kwenye safari ya heri hongereni wana Meru nyie ni mfano
 
Back
Top Bottom