picha za chadema jangwani zitabaki kwenye kumbukumbu

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
554714_448876651791085_100000062625585_1810341_807331647_n.jpg


watu wakimsikiliza rema
181467_448876745124409_1861056336_n.jpg


watu wakimsikiliza tundu lissu
554750_448876881791062_100000062625585_1810345_25515711_n.jpg

watu wakimshangilia sugu alipokuwa anachana misitali
522855_448876998457717_100000062625585_1810346_954387937_n.jpg

pamoja na mvua iliyokuwa inanyesha, watu hawakuchoka kuwasikiliza viongozi wa chadema
579813_448877128457704_34575979_n.jpg


watu walipanda juu ya miti ili wawaone viongozi wa chadema kwa uzuri
181389_448877225124361_100000062625585_1810348_1871691216_n.jpg


hapa wapo darasani wakisikiliza somo la katiba
72815_448877291791021_100000062625585_1810349_1989439735_n.jpg


baadhi ya watu wa mataifa mbalimbali walio hudhulia
479718_448877375124346_100000062625585_1810350_266325132_n.jpg


asikali waliamua kusimama pembeni ni kuacha vijana wa chadema wakisimamia usalama wa barabarani hasa kuongoza magari
556261_448877531790997_894292158_n.jpg


sugu akichanisha pesa kwa ajili ya kuwezesha m4c
535886_448877545124329_425203168_n.jpg


baadhi ya watu walisimama kwa mbali lakini ujumbe uliwafikia pia
545631_448877601790990_189293864_n.jpg



389685_448877625124321_100000062625585_1810355_109535312_n.jpg



masai akidumisha ulinzi karibu na jukwaa kuu
181384_448877655124318_1885694808_n.jpg


watu walivutiwa na hotuba ya dr.slaa
392497_448877685124315_100000062625585_1810357_2047026116_n.jpg

pamoja na manyunyu ya nvua watu walitulia
149779_448877695124314_100000062625585_1810358_1141885710_n.jpg

mkoloni wa wagosi wa kaya alikuwepo
526221_448877738457643_100000062625585_1810359_1376459601_n.jpg



bango lililo beba ujumbe wa siku
560162_448877795124304_100000062625585_1810360_1916635864_n.jpg

mnyika akibebwa jujuu mara baada ya mkutano
542001_448877845124299_100000062625585_1810361_2020775315_n.jpg


watu wengi walihudhulia
69262_448877885124295_100000062625585_1810362_292412916_n.jpg


watu walijawa na furaha kuiona m4c dar es salaam
487368_448877921790958_100000062625585_1810363_2029417880_n.jpg

mbowe na mnyika wakiwa kwenye gali la wazi baada ya mkutano njiani kuelekea kinondoni
428384_448877961790954_100000062625585_1810364_843185003_n.jpg


hili bango linaumiza roho za wanaccm
550748_448878005124283_100000062625585_1810365_446566121_n.jpg

tundu lisuu na dr. slaa wakiwa kwenye ofisi za chadema dar mara baada ya msafara kuwasilikutoka jangwani
550699_448878035124280_100000062625585_1810366_1449325937_n.jpg


398892_448878068457610_2103613980_n.jpg


536423_448878155124268_1082910666_n.jpg


543377_448878225124261_100000062625585_1810369_1932952893_n.jpg


582508_448878258457591_682076410_n.jpg

hapa ni maandamano ya usiku maeneo ya magomeni kuelekea kinondoni
403550_448878368457580_683378314_n.jpg


watu walipagawa na mistari ya sugu
484234_448878445124239_100000062625585_1810372_1705736097_n.jpg


hiki ni kiberenge kilicho kuwa kwenye msafara wa kutoka jangwani kwenda makao makuu ya chadema
75270_448878508457566_100000062625585_1810373_680438491_n.jpg


hapa dr.slaa akihutubia
543352_448878571790893_100000062625585_1810374_222716153_n.jpg


gari ya wakina mbowe iisukumwa
163537_448878625124221_1605835255_n.jpg


gari ya dr.slaa ikisukumwa kutoka jangwani.hapa ni magomeni mapipa
575267_448878701790880_345408634_n.jpg


484352_448878728457544_100000062625585_1810377_1757798332_n.jpg


556284_448878828457534_100000062625585_1810378_304184632_n.jpg




555313_448879055124178_100000062625585_1810380_1319614767_n.jpg


hapa ni maeneo ya kinondoni maandamano yakielekea makao makuu ya chama
554714_448876651791085_100000062625585_1810341_807331647_n.jpg


181467_448876745124409_1861056336_n.jpg


554750_448876881791062_100000062625585_1810345_25515711_n.jpg



380209_448881418457275_1420755836_n.jpg



547690_448881588457258_100000062625585_1810392_1100520058_n.jpg


547516_448881711790579_100000062625585_1810393_337272113_n.jpg


149462_448881798457237_225465154_n.jpg


579433_448881925123891_2058493085_n.jpg


538816_448882168457200_100000062625585_1810398_1528767574_n.jpg


sugu akiimba huku amekanyaga kadi za chama cha ccm
487158_448882265123857_1939285677_n.jpg


gari ya dr.slaa akisukumwa huku mvua ikinyesha, hapa ni mkwajuni
525161_448882385123845_956595484_n.jpg
 
mbona picha wazirudia rudia .. nyingine zimekaa kama photoshop
 
mbona picha wazirudia rudia .. nyingine zimekaa kama photoshop

Mkuu hapa hamna photoshop hata moja. sema nyingine zimepigwa usiku na nyingine zimepigwa mvua zinanyesha. chadema inatisha.
 
Mhhhh raha sana hakika katumbo ka uwoga kanaanza kuniingia kabla 2015
 
mbona picha wazirudia rudia .. nyingine zimekaa kama photoshop

Haaaaaa Njiwa hakuna photoshop hapo full live bila chenga,ngoja na mie ni-upload zangu lkn kapime pressure kwanza usije ukadondoka maana shazi si la kitoto.
 
Haaaaaa Njiwa hakuna photoshop hapo full live bila chenga,ngoja na mie ni-upload zangu lkn kapime pressure kwanza usije ukadondoka maana shazi si la kitoto.
King Kong III njiwa haamini anachokiona.....Macho yao hupenda kuona wanavyoviamini tu.
 
Kwahyo hao weote ni wachaga acha ukabila wewe na wasiwasi na ww sio GT
 
Back
Top Bottom