Picha za CHADEMA ilivyoingia Tanga kwa kishindo

CCm wanakumbuka shuka wakati kumekucha,Go CDM waletee watanzania maisha bora.
 
Tanga ninayoifahamu mimi imekuwa hivi? ama kweli mambo yanabadilika kwa haraka, nwapongeza CDM na hasa Mh Zitto
 
Kunani paleeee,mbona kila kitu kimekwisha? Sasa si kila kitu maana ukombozi wa Tanga ni CDM kushika madaraka 2015,Mkoa huu magamba wameufanya shamba la bibi,sasa ni wakati wakugeuka hawa magamba.

Tanga daima mbele!
 
Kwa kweli inatia moyo but mwamko huu ungekuwa unaonyeshwa na kwenye BALOT BOX basi tungekuwa tunaongea mengine. Lets hope kwamba 2015 utakuwa ni mwaka wa mabadiliko
 
Kwa pamoja tutashinda vita hi watanzania ktk kuwang'oa wakoloni weusi CCM madarakani.
 
CDM tupo pamoja..! 2015 mpango mzma..tumechoka na viongozi ambao akili zao zimeganda mpaka zipate joto ziyeyuke na hata zikiyeyuka hawajiamini walichofanya,wanachofanya na watakachofanya..! Twende kaz CHADEMA.. waache hao CCM wameoza wamebaki kunuka..
 
Nasubiria maoni ya Rejao. Hana la kusema, pressure ipo juu, ngome yao inatekwa hivi hivi.
Zitto ni kati ya wanachama wachache wa CDM wanaojua wanachokifanya!
Always huwa namsaupport Zitto na Mnyika kidogo though kwa sasa Mnyika amelega kidogo kwenye issue za jimboni kwake!
 
Hivi inakuwaje mbunge wa jimbo lingine unaenda kwny jimbo lingine na unakubalika watu wanakupokea vizuri kwa shwangwe zote na hii nimeona kwa wabunge wa Chadema wanapokelewa vizuri sana kwenye majimbo mengine hi kitu inanigusa sana wakuu nawapongeza sana chadema na mh.Zitto sana Mungu awabariki na azidi kuwatia nguvu.
 
Back
Top Bottom