KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
kumbe ni ANNA (enzi ya mwl) sio ANNE kama anavyotaka aitwe siku hizi
Kaka nimecheka sana kipindi kile alikuwa anaitwa anna kwa sababu alikuwa hana makinda sasa ameyapata anataka aitwe anne semamba makinda