Picha za Baraza la Mawaziri la Mwisho la Rais Nyerere kabla ya kung'atuka 1985

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
196036_10150894158312548_1111491809_n.jpg
 
Nilichogundua hapa Nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

1. ALLY HASSAN MWINYI
2. SALIM AHMED SALIM
3. RASHID KAWAWA
4. SALIMIN AMOUR.
5. DAUDI MWAKAWAGO
6. MUSTAFA NYANG'ANYI
7. KIGOMA ALLY MALIMA.
8. AMIR JAMAL
9.ALNOOR KASSUM
10. A. SHABAAN
 
Wote unawaona leo kwa asilimia 85 walikuwepo. Ili tz tusonge mbele mie naonelea lazima tukipoteze hicho kizazi chote regardless anatoka chama gani.

Ndio maana nchi zilizoendelea hubadili chama kizima kwa kukiondoa madarakani maana kama ni chama kilekile kiongozi aliyepo alipanda madaraka kutokana na kuteuliwa na viongozi waliopita kwahiyo akishika madaraka hana meno ya kuwafanya lolote maana ni ndugu zake katika chama
 
nilichogundua hapa nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

1. Ally hassan mwinyi
2. Salim ahmed salim
3. Rashid kawawa
4. Salimin amour.
5. Daudi mwakawago
6. Mustafa nyang'anyi
7. Kigoma ally malima.
8. Amir jamal
9.alnoor kassum
10. A. Shabaan

11. Muhidini kimario
 
Baraza zima hakuna hata mmoja mwenye title ya Dr. au walikuwa hawapendi kujiita ma-Dr.?
 
Nilichogundua hapa Nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

1. ALLY HASSAN MWINYI
2. SALIM AHMED SALIM
3. RASHID KAWAWA
4. SALIMIN AMOUR.
5. DAUDI MWAKAWAGO
6. MUSTAFA NYANG'ANYI
7. KIGOMA ALLY MALIMA.
8. AMIR JAMAL
9.ALNOOR KASSUM
10. A. SHABAAN

mkuu mbona unapenda udini so what?
 
Sita na Mramba kumbe walikuwepo. Wa kitambo. waachie ngazi sasa wameshiba.
 
they have made the 360 degree about turn..hakuna mwenye maadili ya mwalimu zaidi ya salim ahmed..fisadi mramba nalo lilikuwemo eti..dah
 
Back
Top Bottom