Picha yangu ya leo hii

kipanya_09-12-2011_20111209_1021955281.jpg
 
Maafa.jpg

Koplo Maforo Muteba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwaeleza waathirika wa mafuriko kukaa kwenye mstari wakati wa zoezi la uhakiki wa waathirika hao kwenye kambi ya Hananasif Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.
 
Ugalisonga.jpg

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu wa bunge William Lukuvi akisaidia kusonga ugali katika kambi ya wathirika wa mafuriko iliypo Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa wakati waziri mkuu Mizengo Pinda alipotembelea kuangalia hali za wathirika hao jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom