Picha ya Wassira akiwa amelala Bungeni

...Bunge letu (jinsi lilivyojengwa na kuwekwa viti vya starehe) linawafanya wabunge walale..! Si Wassira (Stephen) [MB] peke yake; wapo wengi wanaolala ndani ya bunge. Tulihitaji BUNGE LA MAKABWELA...lakini tumejenga BUNGE LA WACHAPA USINGIZI....lakini msisahau kwamba wengine wanakula sana "SUPU YA UTUMBO WA MBUZI/NG'OMBE" na chapati, maandazi na au ugali "uliyolowekwa na hamira" wanashiba na kuvimbiwa...kwa nini wasilale???! Wanakula bure, hawana cha kujadili isipokuwa majungu na kupiga porojo...kwa nini wasichape usingizi wa pono na kukoroma?
 
wa nikiona hii picha ya jamaa nazidi kuamini kile nilichofundishwa na mwalimu wangu history ya msingi ya kuwa binadamu tumetokana na nyani
 
Differential diagnosis??
Investigations??
drug of choice??
Jamani mkiuelezea ugonjwa mtupe na treatment plan. si kuna wataalamu wa afya hapa jamvini?
 
Huyu mtani wangu anasumbuliwa na ISIMAGILA ni neno la kilugha chetu nimempigia simu akishashindwa huko alipo aje anywe dawa. Ni aibu na sijui kwenye kampeini muda mwingi lazima asimame vinginevyo kukoroma kama kawa.
Mkuu huyu sialisha piga kikombe cha babu? :flock: :peep:
 
kipanya_30_-_02_-_2012_20120301_1203510724.jpg
 
Anaumwa ugonjwa kwa kitaalamu unaitwa TRYPANOSOMIASIS. Trypanosomiasis is a ZONOTIC DISEASE that means it affects HUMAN as well as ANIMAL. Trypanosomiasis in HUMAN is called SLEEPING SICKNESS and in ANIMAL is called NAGANA. Since the hounorauble is from GOMBE reserved area then he must be suffering NAGANA disease.
Duuuuuuuu,hii Kali kumbe Rc Mkweli
 
wenzake walikuwa wanachangia hoja yeye kuchapa usingizi bulayo akimpiga kwa kishindo mchana kweupe.

polee mr. handsome rudi kalime vitunguu kama pinda.
 
Back
Top Bottom