Picha ya Teddy Kalonga

Jamani is so true nimesikia from reliable source kuwa ni mlokole and for your info also married woman. Sijui ni maadili gani anafundisha jamii ya kupose uchi in public.

Jamani ulokole wa dizaini hii mbona waliabisha kanisa sasa! Mungu tusaidie tukisema tumeokoka basi tumaanishe kwa matendo..
 
halafu kuna mtu utamsikia anasema eti kapendeza,,,,,, huu ni ufirauni na ushetani.
 
Jamani ulokole wa dizaini hii mbona waliabisha kanisa sasa! Mungu tusaidie tukisema tumeokoka basi tumaanishe kwa matendo..

sio wote wamuitao bwana watauona ufalme wa mbinguni....haleluiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!mnh:A S 13::A S 13:
 
halafu kuna mtu utamsikia anasema eti kapendeza,,,,,, huu ni ufirauni na ushetani.

kapendeza bwana mpe maksi yake,sie waafrica na misosi yetu ukiwaambia wengi wa wadada,mama na wake za watu humu wavae kama yeye alivyovaa unaweza pata nightmare mnh!:A S 13:
 
Kama wantanzania tumefikia hatua hii ya kujiuza huko kwa wenzetu kisa pesa basi sasa tumekwisha......jamani eti ni mtz haya yetu macho.ama kweli huyu ni mtangaza biashara ya mwili tu
 
:behindsofa::behindsofa: mh!..Na Bwana aamue ndani yetu!.hivi si vya kuvaa na husband?ila mie mshamba maybe.
 
Back
Top Bottom