Picha ya Tanzania ijayo

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,880
Kama utapewa kalamu ya risasi(pencil) na karatasi ,ukaambiwa uichore tanzania ya kesho,je ungechora picha gani?kwa nini?
 
ningechora shule za kata na matokeo yao ya form 4
nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn.jpg
 
Mimi nigechora picha inayoonesha ukiwa yaani hakuna matumaini ya kuishi tena.
 
Ningechora msururu wa meli zikikinga mafuta pwani yetu na kuishia kuambiwa ni sample wanaipeleka ulaya kuipima
 
Saint Ivuga, hii siamini, ngoja nika-confirm necta!!

Ni kweli mkuu kimkoa ipo 192/192 kitaifa 3108/3108 ndio maana jana Zito alizungumzia kuanguka kwa elimu wilaya ya muheza.
 
thanks guys for comments....nimeona kila mchangiaje amegusa uwanja wake,je what should be done????????ili kama tutaamua tena kukupa fursa ya kuichora tz ya kesho uwe na picha tofauti na hii unayoifikiria sasa?
i appreciate ur comments.
 
Back
Top Bottom