Picha ya Siku

attachment.php


kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.mnamuona wa nne toka kushoto? Ipeni maneno

wekeni naya kumsindikiza tena likizo ya malipo
 
akili ni nywele kwa kweli yaani hawa jamaa sijui wanajisikia vipi baada ya hapa,,mkumbo mkumbo utawafikisha watz pabaya ,,,,yaani mkumbo+ushabiki mambo yenye kuhitaji kufikiri kabla ya kutenda....
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=35920&amp;d=1314185267" border="0" alt="" /><br />
<br />
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
<br />
<br />
Jairooo! Hahahahahahaha!
 
Hivi wake za hawa jamaa wanafikiriaje wanavyoona waume zao wanamsukuma mwanamume mwenzao!
 
kwa hiyo wanaume wanasuma wanawake waimba hii kali TZ ni zaidi ya ...........................ujinga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom