Picha ya SEX imeniletea balaaaaa!

Nakushauri huyo mgeni mpe ahadi ya picha bomba kuliko hiyo ya X- BF ili uwe na picha nyingi for your reference!!


Babu DC!!
 
itupe/iweke mahali pa siri. mwenzio anadhani bado unafeelings kwa huyo mtu ndio maana ukaitunza pic, get rid of it and apologize.


Thanks Blaine, yaani hadi hapa wewe ndio walau umenipa ushauri,

wengine wanachonga tu na kunipaka matope. mwaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
usijali, sasa hivi si ana jifanya hataki kukutafuna, chakufanya mwambie leo una taka umpe! Najua atakubali na hapo utapata chance ya kuomba msamaha huku unampa zaidi ya yule kwenye picha. Hawezi kuchomoka hapo lazima akusamehe.

ruttashobolwa, come this way....................... mwaaaaaaah. hili ndio neno atii.
 
Last edited by a moderator:
Erotica me thought kuwa ni mshauri wako, haya sasa unamwaga majanga hapa unaishia kutukanwa.....you should have told me first....tell that bway to chill kama mapema hivi anaanza wehuka na picha moko je akiona album nzima itakuwaje?


ur 4n was not richabo my darlin, hao wanaotukana wana lao jambo hawo,

ndio hao hao wanakuwaga wabakaji! sasa sabb u are here ngoja niku pm godmother wa my twins.

for staters i tell the bway to chill, and he should know being this hot, sexy and preg i have a history au sio?
 
Back
Top Bottom